Emma Saguda (@Emma_saguda) profile picture

Member Of Wandewa Street

Tanzania
Joined March 2013
Poa Na Wewe Pia Kaka RT @noahkapindo: Emma_saguda ucku mwema
1
Oi @DivaBos aje? Play Kibudu By Msechu 2 @Aristidis_tairo & Amisa Fati
Net Ilizingua Ingia Tena RT @mabalahnyembo: Emma_saguda Mbona hakuna ki2 Kaka?
1
Oi @JabirSaleh Aje Bro? toka Wandewa Street Kahama,Pamoja Sana Ndani Ya Jump Off Ya @TimesFMtz Mpe Hai Sana. @MrapLion
1
1
Oi @JabirSaleh Aje Bro? toka Wandewa Street Kahama,Pamoja Sana Ndani Ya Jump Off Ya @TimesFMtz Mpe Hai Sana @MrapLion
AlongSide @AthumanWachemba & @AmisaFat Oi @KahamaFM Aje?, Kama Vipi Gusa Ufisadi Wa Mapenzi Ya Wazee Wa Kizigo,Coll Me Emma Saguda 4rm Wande
Ukicheka Na Nyani Utavuna Mabua
Nawatakia Safari Njema Wote Mlioko Kwenye Vyombo Vya Usafiri
Shikamoni Wakubwa Zangu?,Mambo Vipi Washikaji? NA Hamjambo Wadogo Zangu?
1
Malipo Ni Hapa Hapa Duniani
POMBE AINA YA VIROBA ZINAZEESHA SANA NDIO MAANA KITU CHOCHOTE KITOLEWAVYO KWA BEI YA CHINI HATARI SANA
We Kama Unamapango Piga Ngumi Mti
Kuna Haja Gani Kuwa Mkorofi Wakati Nchi Yetu Ya Aman
Kila Mtandao Ninaohamia Unabuma Hivi Ni Mtandao Gani Mzuri Zaidi?
Kila Kukicha Ni Haraka Mpaka Cku Ya Mwisho
@TinahKorosso Inapendeza Sana Km Mko Shwaaaaaaari
Habari Na Jioni Bandugu