BADMAN retweeted
Unajua unaweza kupoteza thamani ya TSh MILIONI 1.8 kwa mwaka bila hata kutumia pesa zako? 😳🇹🇿
Mfano: Mshahara wako ni TSh 2,000,000 kwa mwezi = TSh MILIONI 24 kwa mwaka.
Januari 2026:
💵 $1 = TSh 2,470
💰 Milioni 24 = $9,717
Novemba 2026:
💵 $1 = TSh 2,654
💰 Milioni 24 = $9,043
Yaani mshahara wako wa mwaka, ukipimwa kwa dola, umepungua thamani kwa $674 (takriban TSh milioni 1.8)!
Hujapunguziwa mshahara, lakini uwezo wa pesa zako kununua vitu vinavyouzwa kwa USD umepungua.
Sasa badala ya kulalamika, tufanye nini? 👇
- 🇹🇿 Wekeza kwenye hisa za DSE
- 🏦 Angalia Treasury Bills na Bonds za Serikali
- 💵 Hifadhi sehemu ya akiba kwa USD
- 📈 Wekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS
- 💼 Jenga chanzo kingine cha kipato
Usifanye kazi kwa ajili ya pesa tu. Hakikisha pesa zako pia zinafanya kazi kwa ajili yako.
BADMAN retweeted
Grok Bot read my wife's medical records, researched the latest cancer treatments and trials, found the top specialist at Stanford and drafted the emails.
Hours later, Stanford called us to start intake.
@elonmusk, Grok is giving families like mine a path forward. 🙏
BADMAN retweeted
#HABARI Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Novemba 19,kwa ajili ya kujibu shitaka la kuchapisha habari za uongo katika mtandao wa YouTube mnamo Aprili 3,2025.
Lissu anafikishwa mahakamani hapo akiwa kama mfungwa,baada ya kuhukumiwa miaka minne jela mnamo Novemba 6,2026 kwa uchechezi baada ya kutokutwa na kesi ya uhaini aliyokuwa anashitakiwa nayo kwa muda mrefu.
Hatua hii inatokea wakati ambapo Mawakili wake wameenza kukataa rufaa kupinga hukumu hiyo ya kifungo Cha miaka minne huku walisema kuwa alionewa.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
BADMAN retweeted
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania.
Na nataka kuwaambia kwa nini.
Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu.
Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter.
Na sio kujifunza tu.
Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA.
Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA.
Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu!
Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku.
Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote.
Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma.
Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani.
Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni.
Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter!
Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania.
Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media.
Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani.
Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi.
Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
BADMAN retweeted
Leo hakuna ushauri kwa ufupi maisha ni magumu sana kila mtu Apambane kivyake 😩,bila kusahau hela halali ni ngumu sana kuipata.
Rest easy
🚨𝐓𝐀𝐍𝐙𝐈𝐀
Angel Wariael, (13) binti aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na kujeruhiwa na risasi kwenye matukio ya Oktoba 29 akiwa nyumbani kwao Manzese amefariki dunia.
Hospitali imethibitisha kifo chake leo Novemba 18, 2026, kupitia Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano, Irene Charles Mbonde, pamoja na taarifa kutoka kwa mmoja wa wanafamilia.
Katika taarifa kwa waandishi wa habari, Hospitali ya Taifa Muhimbili, (MNH) imetoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huo, ikiwaombea nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu.
#MeaMswahiliUPDATES
5
BADMAN retweeted
Ndege 34 za Tanzania Zapigwa Marufuku Anga la Ulaya
bbc.in/3UU9IcU
BADMAN retweeted
Madaktari nina swali kati ya presha ya kushuka na presha ya kupanda ipi ni mbaya zaidi na ipi ni rahisi kuicontroll
BADMAN retweeted
Ukiwa na Hela unaweza ukashinda kutwa nzima bila kula , usipokua na Hela kizunguzungu kinaanza saa 4 Asubuhi
BADMAN retweeted
Kwa bahati mbaya, kuwa mwema kupita kiasi kunaweza kusababisha kutokuheshimiwa.
Morning everyone 😊























