I see what is SQL injections and YouTube videos of SQL.
Official connection ni muhimu kwenye mambo official. I hope we'll improve next time
📍Dodoma
Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun (katikati) akieleza utayari wa Benki yake kushirikiana na Serikali ya Tanzania na kushiriki katika kutafuta fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, wakati wa mkutano na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani) uliofanyika kwa njia ya mtandao jijini Dodoma.
📸:W/Fedha
2
100
Eid Mubarak!
Wishing you and your loved ones joy, warmth, and blessings on this special day. May your Eid Fitr celebrations be filled with happiness and cherished moments together.
1
5
148
Mussa Dida retweeted
NM-AIST na Shirika la Posta Tanzania zimekubaliana katika kuleta mabadiliko ya pamoja katika eneo la utoaji huduma kidigitali.
Mussa Dida retweeted
I love what is happening in the #edtech space in Tanzania. From policies, curriculum, teachers support, devices and content.
Been a long ride but I am optimistic. Grateful to champion innovation and tech in education.
Thank you @NM_AIST for an insightful visit cc @wizara_elimuTz
Wana @NM_AIST hii si ya kukosa.
As usual we expect to see familiar names majibu yakitoka has from @EaCenit na CoCSE in general.
Wewe ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza uliye mwaka wa tatu au wa nne, au mwanafunzi wa Shahada ya Pili katika Chuo Kikuu?
Unasomea masomo ya Physics, Chemistry, Mathematics, Biology, Brain & Cognitive Science, and Medical Science?
Je, unatamani kufanya internship ya muda mfupi nchini Korea?
Kama majibu yako ni ndio, basi omba fursa ya kufanya Internship nchini Korea katika Chuo cha Korea Advanced Institute for Science and Technology (KAIST). Programu hiyo ya wiki 8 inatarajia kuanza June 24 hadi Agosti 16. Mwisho wa maombi ni tarehe 31 Machi, 2024. Maelezo zaidi fuatilia link hapo chini:
kaist.ac.kr/site/kr/html/foo…
@amour_maryam @muhimbiliuniver @KairukiSciConf @juliemakani @NM_AIST @TanzaniaInKorea

Hivi hizi email za @CRDBBankPlc ni kwangu tu au ni kwa kila mtu.
Yaani daily napokea email, halafu hakuna option ya unsubscribe wala forgot password haifanyi kazi.
1
63
Mussa Dida retweeted
Congratulations to @Ziryawulawo1, our EMoS student, on being selected for the prestigious Mandela Washington Fellowship 2024! 🌟#MandelaWashingtonFellowship2024 #FutureLeader #EMoSExcellence 🚀✨
Mussa Dida retweeted
Congratulations to our outreach coordinator Dr @DevothaNyambo on being chosen for the Mandela Washington Fellowship!
The thing is amazing,
I hope the history is clearly mentioning Tanzania and the country is benefiting.
I learned a lot from my visit.
📍Berlin, Ujerumani
🇹🇿🇩🇪
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. @AngellahKairuki (Mb.) akiangalia mabaki ya mjusi mkubwa duniani aina ya “Dinosaur” yaliyohifadhiwa katika jumba la Makumbusho ya Viumbe Hai Berlin nchini Ujerumani.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Sayansi, Makumbusho ya Viumbe hai Berlin, Dkt. Andreas Kunkel.
📸: W/Maliasili na Utalii
2
102
2/2
Kwa jinsi ninavyochukia foleni, naamini maisha yangu na ya watanzania wengi yangekuwa tofauti kama sio uongozi wako.
Hii ndo hadithi yangu juu ya utawala wako Mzee Mwinyi, Nitawahadithia wanangu na wajukuu zangu, Ahsante tulilivuka salama
#RIEP Ali Hassan Mwinyi,
1/2
Mimi sio mwanasiasa wala mwanahistoria,
Kwa hiyo sina mengi ya kusema kuhusu utawala wako Mzee Mwinyi.
Ila ningependa kushukuru kuwa sikupanga saana foleni za kununua sukari, ninakumbukumbu chache za foleni za kununua sukari. Naamini hii ni sababu ya juhudi na uongozi wako.
87

Congratulations, All the best to you new role
Reflecting on my academic growth and feeling immensely grateful for the experiences that have shaped me and the knowledge I've gained. Now, with excitement and open arms, I'm ready to embrace the new challenges and opportunities that lie ahead! #SeniorLecturer
Happy birthday Madam President, May the Almighty give you more years, so our generation benefits from your wisdom & courage. I believe, we have a lot coming from your presidency and what we have seen so far is just a tip of an iceberg.
Namshukuru Mwenyezi Mungu leo ninapotimiza umri wa miaka 64. Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika siku hii. Ahsanteni sana.
1
127
Mussa Dida retweeted
Congratulations to our EMoS student Mr Frank Samson for receiving the best paper award 🎊🎉
Congratulations to Mr. Frank Samson from @EaCenit for receiving the Best Paper Award at the 6th EAI International Conference .