Advocate, Notary Public and Commissioner for oarths, Rtd President of the Law School of Tanzania, A Public Speaker, A Young Politician.πΉπΏπΉπΏπΉπΏ.
Uamuzi wa Serikali ya Tanzania Kuruhusu Maisha Yaendeee badala ya Quarantine ni wa Kupongezwa, Kwani Watz wengi Kinachopatikana Asbh ndo Kinaliwa Mchana na Kinachopatikana jioni ndo kinaliwa Usiku, Unazuia kifo COVID-19.unaruhu Njaa. @WHO @umwalimu @TZMsemajiMkuu@MsigwaGerson
1 WAKORINTHO 13:13β
Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.β
#Happy Valentine to All Beloved Ones. β at Nairobi, Kenya