Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
RushaRoho ishang'oa nanga馃敟
@MelodySinzore1
Valia dera lako tuburudike sote.
Upo tayari?
#RushaRoho
#RadioNumberOne
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Mercy Wetuka aelezea safari yake ya mziki kwenye #WinguLaBaraka.
#RadioNumberOne
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Rais Wa Mzuka @djflashkenya on the Ones & Twos serving you some great Jam on #MsetoWCW.
Unaburudika ukiwa wapi?
#MsetoWCW
#RadioNumberOne
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Sunday morning is for worship on #Pambazuka with @EdwardNgaira and @JeridahAndayi. Good morning. Are you tuned in ?
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Wisdom Wednesday: Wajijua?
#JamboKenya na @MelodySinzore1
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Raimond Molenje, Ag CEO KBA: We need to manage our expenses well, live within our means, all levels: government, private sector, households and individuals. We just need to stop theft. We need to live within the law #CitizenExplainer @YvonneOkwara
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Hisia Zako Ni Zipi Kuhusiana na Onyo Kali Kutoka kwa Rais Kwa Wana Gen Z Kuhusu Maandamano?
Send SMS on 22106
Call us on 0722 200 730 / 0733 330 015
#JamboKenya / @MelodySinzore1 @VincentAteya
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Hii leo kwenye #MichezoNaBurudani 4PM-9PM, @bekimwamburi na @icia_jacob watamhoji mshambulizi wa Harambee Starlets na klabu ya Municipal de Laayouyne (Morocco), Violet Nanjala Wanyonyi, kuhusu maisha yake ya soka nje ya nchi.
Usikose!
#RadioNumberOne
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Gazeti La Daily Nation
> Mtazamo wa polisi kuhusu miili iliyopatikana Kware.
> Aliyekuwa Rais Wa Marekani, Donald Trump aponea kifo baada ya kupigwa risasi
#JamboKenya / @MelodySinzore1
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Gazeti La The Standard
> Kibunga kinachomkabili Rais Ruto
> Maandamano ya Gen-Z yamempatia Kalonzo sauti?
#JamboKenya / @VincentAteya
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Magazetini : Rais afanya uteuzi mpya Jeshini. / Linturi aachwa hoi bin taabani shoka likimwangukia Bungeni.
#Jambokenya
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Dr. Githae : Katika kuangalia na kulinda watoto lazima mtu aangazie hali ya mzazi mwenza iko nama gani #Jambokenya #RadioNumberOne
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Amka kumekucha!! Ulivukaje mwaka wa 2023? Karibu kwenye #Jambokenya naye @VincentAteya @nyambega_jared Ulipo hali vipi? #JamboKenya #RadioNumberOne
Daudi Wesonga Wa Basics Shop Kemodo retweeted
Ni jioni nyingine unatulia ndani ya #GoodEveningKenya upate uhondo katika #Porojo na JK , siku yako imekuwa powa? karibu porojoni #RadioNumberOne
Nikiwa Basics Shop Kemodo nauliza Kama hii Cancer inaeza toka kwa mama Hadi kwa Mtoto anaenyonyeshwa
Kwenye mjadala wa #JamboKenya tunaangazia saratani ya matiti (Breast Cancer). Swali lako kwa Dr. Sitna Ali Mwanzi ni lipi?
@VincentAteya
#JamboKenya
#RadioNumberOne












