... 𝗥𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗟𝗜𝗚𝗜 𝗞𝗨𝗨
Yanga ataanzia ugenini dhidi ya Kagera sugar Kaitaba. Simba ataanzia nyumbani katika uwanja wa KMC.
1
1
157
... 🚨 𝗨𝗣𝗗𝗔𝗧𝗘𝗦
Golikipa, Ayoub Lakred atakaa nje ya uwanja kwa miezi sita. Simba SC imeshakamilisha usajili wa golikipa mwingine, Moussa Camara kutoka Horoya AC 🇬🇳
Ayoub ataondolewa kwenye mfumo wa (CAF) ili kumpisha kipa mpya kwa sababu idadi ya wachezaji wa kigeni
1
1
150
... 🚨 𝗨𝗟𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗡𝗗𝗢𝗧𝗢 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨
"Familia yangu ilinishauri kuishi katika ndoto zangu na sio kuangalia maslahi kila wakati, hiyo tu imekuwa sababu yenye nguvu sana moyoni mwangu, kwani nataka kufanya kazi kwa furaha." - Elie Mpanzu.
"Nilitaka kuja Simba kwani
1
154
... 🚨 𝗔𝗨𝗖𝗛𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗘𝗠𝗔 𝗡𝗬𝗢𝗡𝗚𝗢
Baada ya kukosekana katika kinyang’anyiro cha Kiungo Bora, kiungo wa Yanga SC Khalid Aucho ni kama ametema nyongo kwa kuandika ujumbe huu Instagram.
“ Hakuna tuzo bora kuliko upendo wako na msaada. Mashabiki wangu wapendwa asanteni
1
1
80
... 🚨 𝗞𝗟𝗔𝗕𝗨 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗞𝗜𝗕𝗨
Klabu aliyoenda Kibu kufanya majaribio :
◉ Full name ›› Kristiansund Ballklubb.
◉ Nick name ›› Kristiansund BK (The Owls)
◉ League ›› Eliteserien | Norway 🇳🇴
◉ Founded ›› September 2003.
◉ Head coach ›› Amund Skiri.
77
... 🚨 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗧𝗢 𝗚𝗘𝗥𝗠𝗔𝗡𝗬 🇩🇪
Mshambuliaji aliyewika na Mtibwa sugar Uth 20 ambaye baadae alijiunga na Mashujaa FC, Athumani Makambo amesajiliwa na klabu ya Darmstadt ya daraja la pili Ujerumani 🇩🇪
ℹ️ Amesaini mkataba wa miaka mitatu.
1
55
... 🚨 UZI RASMI WA SIMBA SC
Jezi za klabu ya Simba SC zimezinduliwa rasmi Mikumi Mkoani Morogoro. Unazipa max ngap jezi hizi...
5
91
𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 🧠
Wakati wa sakata na Feisal na waajiri wake wakati huo June 2023.
ilielezwa kuwa, Feisal anahaki ya kulipa Release Cluse yake iliyopo kwenye mkataba na kuondoka Yanga SC lakini je amefata utaratibu ?!wengi walimtetea.
𝗗𝗮𝗿𝗮𝘀𝗮 𝗹𝗮 𝗯𝘂𝗿𝗲 :
Hakuna mkataba
1
84
kalipa pesa kuununua mkataba wake.
Vipengele vyote hivyo havikufuatwa kwenye sakata la Feisal, ilitumika busara.
Kitendo kile kiliwafanya wachezaji wengi Tanzania waamini kumbe unaweza kuvunja mkataba wakati wowote tu na isiwe issue.
Wanafunzi bora wa somo hilo ni :
◉ Awesu
1
23
... 🚨 𝗛𝗔𝗝𝗜 𝗔𝗡𝗔𝗨𝗡𝗚𝗨𝗥𝗨𝗠𝗔
“ Nimelipa faini ya Tsh milioni kumi (10) na sasa nimerudi rasmi katika mpira. Tufungue kurasa mpya, tunahitajiana kuupeleka mbele mpira wetu “ - Haji Manara.
“ Naona vijana wanafanya kazi nzuri ya kuhabarisha watu katika sekta hii ya
1
49
Yanga SC waliniita na kuniongeza mkataba mpya ambao unaisha 2026, nilishangaa maana nilikuwa sifanyi kazi. Lakini nimeongezwa mkataba na nimeongezewa mshahara “
.“ Nimemaliza adhabu zangu na sasa nawaachia Yanga SC waseme naenda kuwa nani katika timu. Mimi ni yule yule na
1
17
















