Community Health4d CHID (@Community4DCHID) header
Community Health4d CHID (@Community4DCHID) profile picture

CHID Advocates for #SRHR, #TB & #HIV Access to Effective healthcare services alleviating suffering through strengthened social support & community empowerment.

Morogoro, Tanzania
Joined September 2022
Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)Photo by Community Health4d CHID (@Community4DCHID)
Youth and community awareness meeting on Gender Mainstreaming mentorship
1
1
1
36
HIV PREVENTION 2025 Road MAP, To end HIV/AIDS Needs commitment, momentum, investment and accountability across governments, CSOs, donors, PPPs to implement large-scale, high-coverage, equitable and high-quality prevention programmes that can end the AIDS epidemic by 2030
9
Poverty reduction required for long-term control and elimination of TB, global ACSM approaches have focused on mobilizing resources and strengthening political and governmental commitment, there is a need to intensify communication efforts to foster the broader CSO engagement
1
1
19
The Stop TB Strategy urges enhancement of ACSM at country level to improve case detection and treatment adherence, to combat stigma and discrimination, to empower people affected by TB, to mobilize political commitment and resources for TB control, and to institute social change.
1
1
19
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Uingereza zimesaini Mkataba wa nyongeza wa Hati ya Makubaliano ya Mfuko wa Afya  wa Pamoja wenye lengo la kuimarisha huduma za afya nchini hususan Afya ya Msingi.   Mkataba huo umesainiwa Novemba 12, 2024 Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu Mwamba , Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais  Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (OR-TAMISEMI), Dkt. Grace Magembe na  Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Ubalozi wa Uingereza nchini, Bi. Olukemi Williams ukishuhudiwa na Mwakilishi wa Wadau  wa Mfuko wa  Pamoja Bi.Franziska Freiburghaus kutoka Uswisi.
1
3
14
1,479
TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA AFYA Na WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Novemba 13, 2024 amekutana na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Afya Duniani (World Health Organization- WHO) Dkt. Charles Sagoe-Moses kwa mara ya kwanza kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Afya. Katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ofisi ndogo za Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam Waziri Mhagama ameishukuru WHO kwa kuendelea kuisaidia Tanzania katika kukabiliana na changamoto za magonjwa ikiwemo magonjwa ya milipuko. "Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nachukua fursa hii kuwashukuru Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa msaada na ahadi zenu mlizozitoa katika kusaidia na kuboresha huduma za afya nchini," amesema Waziri Mhagama Shirika la Afya Duniani pamoja na Tanzania zimekuwa zikishirikiana kwa miongo kadhaa katika kuboresha Sekta ya afya katika maeneo ya ushirikiano wa kiufundi, mijadala ya kisera, ushauri pamoja na kubadilishana maarifa kwa wataalamu wa afya. Pamoja na mambo mengine Waziri Mhagama ameomba ushirikiano katika suala la Bima ya Afya kwakuwa Sekta ya Afya imefikia hatua muhimu ya kuanza kwa utekelezwaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni njia ya kusaidiana ili watu wa hali ya kipato cha chini wapate matibabu bila kikwazo cha fedha. "Tunashukuru kwa ushirikiano wa pamoja na Shirika la Afya Duniani lakini pia tunaomba ofisi yako iendelee kuunga mkono na kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuboresha huduma za afya na kuhakikisha utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote unafanikiwa," amesema Waziri Mhagama Aidha, Waziri Mhagama amelihakikishia Shirika hilo kuwa Serikali chini ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Shirika la Afya Duniani (WHO) katika kutimiza azma ya kuboresha huduma za afya nchini. Kwa upande wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Charles Sagoe-Moses wakati akijitambulisha kwa Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameahidi kuwa Shirika hilo litaendelea kushirikiana na Tanzania hasa katika kuhakikisha afya za Watanzania zinaimarika na kuwalinda na magonjwa hasa ya mlipuko kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ya kuwezesha utolewaji wa elimu.
5
14
1,465
Community Health4d CHID retweeted
LIVE from #COP29 with @DrTedros: COP Presidencies bringing Health at the Centre of Climate Agenda xitter.cf/i/broadcasts/1ypJdpmVa…
50
64
6
193
493,326
Community Health4d CHID retweeted
LIVE from #COP29 with @DrTedros: COP Presidencies bringing Health at the Centre of Climate Agenda xitter.cf/i/broadcasts/1vAGROVol…
39
33
11
103
32,308
CHID is a Youth serving & Community Led CSO that is committed to promoting provision of health services, and awareness knowledge to young people, advocating for improved access to Available, Affordable, Accessible and Acculturate friendly health services through SRHR approach.
1
2
24
This is perfect, keep up the move
Empowering young minds at EP Mwasha in @GakenkeDistrict! Our P4 health club members are helping shape their club to reflect what they truly need. Using a human-centered design approach, we’re listening to their voices through assessments and feedback, tailoring each club to support their growth and well-being. Proud to lead this under the #GIRLProgramme with @Rwanda_Edu @FCDOGovUK @UKinRwanda and @unicefrw #NdindaNide
2
23
Sexual and reproductive health and rights (SRHR) is an inclusive term that encompasses the full range of rights related to sexuality, gender, reproduction, including sexual and reproductive health, efforts putting health reach @eannaso @lizwathuti @badrujumah @KimosaRajabu
1
19
TB is a devastating disease. We need to describe the destruction that TB brings to individuals, families, whole communities and economies. And second, the DOTS strategy can control TB.
1
1
19
Community Health4d CHID retweeted
We are on this week. Might you have experience with any #Malariatool in your country? The. This is for you. Log in and share your experience this week as @eannaso @MalariaYouthUG and @CS4MEglobal host a one hour discussion on 28th March 2024 at 8:00PM EAT . Use this link and set a reminder. xitter.cf/i/spaces/1mrxmyN…
1
9
13
300
Community Health4d CHID retweeted
It's Happening now, Meeting with Youth stakeholders discussing challenges on the Establishment of the National Youth Council (act) Youth, Media, Key Ministry Representative and CSO @USAIDTanzania @CARETanzania @tmarctanzania @DOYODO_TANZANIA @SalhaBintiAziz @TZWaziriMkuu – at Dar es Salaam, Tanzania
2
3
3
89
Community Health4d CHID retweeted
During the #InternationalPrimaryHealthcareConference, we will be co-hosting a symposium to explore the critical nexus between healthcare services and social welfare programs. Welcome and be a part of this dialogue. #Tanzania #PHC #SocialWelfare #EngagedCommunities
1
6
12
375
The Access to prevention and treatment for all forms in TB in Adults and Children and among People Living with HIV + Should be Strengthened.. No one should Dying from TB #WorldTBDay2024 #EndTB @KimosaRajabu, @TTCN_Tanzania @wizara_afyatz @USAIDTanzania @StopTB @CdcTanzania
World TB Day March 24, Yes We can end TB!' We should get back-on-track to turn the tide against the TB epidemic, This is possible through high level leadership, increased investments and faster uptake of new drugs @wizara_afyatz @TTCN_Tanzania @WHO_Tanzania @stoptbtanzania
1
2
55
Community Health4d CHID retweeted
#CervicalCancer can be prevented through routine screenings. Take control of your health and schedule your next screening. bit.ly/3A2Sifn
5
11
931
Community Health4d CHID retweeted
If you’re 45 or older, it’s time to talk to your doctor about #ColorectalCancer screening. Your options might surprise you. bit.ly/3pV2xeM #ColorectalCancerAwarenessMonth
1
10
12
4,370
TB intergreted mobile service
KLINIKI TEMBEZI KUTUMIKA KUIBUA WAGONJWA WA TB, UKIMWI NA MALARIA Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu amesema magari ya Kliniki Tembezi (Mobile Clinic) yakatumike katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) hususani kuibua wagonjwa wapya, UKIMWI pamoja na Malaria. Waziri Ummy amesema hayo leo Novemba 8, 2023 wakati wa makabidhiano ya magari hayo ya Kliniki Tembezi yenye thamani ya Mil. 618,477,000/= yaliyofanyika Mkoani Dodoma. “Karibu 35% ya wagonjwa wa Kifua Kikuu bado tunao katika majumba yetu, ofisi zetu, vijiji vyetu na mitaani kwetu, Kwahiyo naamini kabisa magari haya yatatumika katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa TB kwa kuibua wagonjwa wapya, mapambano dhidi ya Malaria na UKIMWI”. Amesema Waziri Ummy Aidha, Waziri Ummy amesema magari hayo (Mobile Clinic) yatakuwa yanatoa huduma za Afya za kisasa katika jamii ambayo ipo mbali na huduma za Afya pamoja na kutembea katika masoko na stendi za magari kutoa huduma za upimaji. “Magari haya pia yatumike kutoa huduma za chanjo kwa watoto ambao wanapaswa kupata chanjo, pia yakatumike kwenye mapambano dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza na mtu akikutwa na changamoto basi aambiwe aende kwenye kituo cha kutoa huduma za Afya kwa matibabu zaidi”. Amesema Waziri Ummy Aidha Waziri Ummy amesema, Tanzania ina changamoto ya magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo Kisukari ambapo katika kila watu 100 wenye umri wa miaka 15 na kuendelea watu 9 wana ugonjwa wa Kisukari, changamoto ya watu wenye Shinikizo la Juu la Damu ambao ni 25% na hawajui. “Nitoa shukrani nyingi sana kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujali Afya za Watanzania kwa kuendeleza mashirikiano na Mataifa mbalimbali na kuja kuwekeza nchini hasa katika Sekta ya Afya”. Amesema Waziri Ummy Mwisho, Waziri Ummy ameshukuru uongozi wa Aga Khan - Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Afya na kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya Rais Samia katika kuboresha mifumo ya utoaji wa huduma za Afya nchini. Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu OR - TAMISEMI Dkt. Wilson Mahera amesema magari hayo (Kliniki Tembezi) yatakwenda kusaidia upatikanaji wa huduma za Afya kwa haraka katika Jamii ambazo zipo mbali na vituo vya Afya. Pia, amesema watasimamia na kutekeleza maelekezo yote yaliyotolewa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ikiwemo ya usimamizi mzuri wa karibu pamoja na maendeleo ya mradi huo ikiwa ni pamoja na shughuli zote zitakazotekelezwa na magari hayo ya kliniki tembezi.
1
14
Hii ni mashine ya kutoa huduma ya dawa ya mionzi kwa wagonjwa wa saratani. Na hapa ni Taasisi ya Saratani Ocean Road nilipopata nafasi ya kutembelea moja kati ya vyumba vinavyotoa huduma ya dawa kwa wagonjwa wa saratani. Hivi karibuni tutashuhudia mashine ya PET-CT-SCAN ikianza kufanya kazi. Mashine ya PET-CT-SCAN inauwezo wa kujua saratani kama ndio inaanza, na iko sehem gani, pia ina uwezo wa kujua kama saratani imesambaa mwilini basi imesambaa kwa kiasi gani. Sasa wananchi wataanza kunufaika na hizi mashine ambazo zitaenda kupunguza gharama ya matibabu ambayo inapelekea watu kusafiri nchi za nje kwa matibabu ya saratani. Tunamshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mama yetu Dkt. @SuluhuSamia suluhu_hassan kwa jitihada kubwa ambazo anafanya, haswa upande huu wa Afya. Pia tunamshukuru Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu kwa kusimamia vizuri katika sekta ya afya. #kaziendelee CC @babuuwakitaa_tz
3
12
2
28
3,303