2/ MACHAKATO WA PILI
tunaanza na ZAWADI na ADHABU dini zinatumia mbinu hii wazazi wanatumia mbinu wenda hata sisi tunatumia mbinu hii kwa wapenzi wetu marafiki mitandaoni bira ya kujua kuuzuia uhuru wetu
CJ retweeted
Kwahiyo kuuliza swali ni kiburi?
Replying to @SharonMontana20
Hiki ni kiburi baada ya afya njema na uhakika wa kula mungu akuoneshe uwepo wake kabla hujafa dada ake 🙏
CJ retweeted
Kama Shetani ni adui wa Mungu, kwa nini simulizi nyingi za kidini zinampa nafasi kubwa kiasi hicho katika kuelezea maisha ya binadamu? Je, Shetani ni kiumbe halisi, ishara ya uovu, au dhana iliyotengenezwa kuelezea mambo ambayo binadamu hawezi kuyaelewa?
CJ retweeted
Kama ungekuwa umezaliwa katika familia ya dini tofauti, nchi tofauti na utamaduni tofauti, ungekuwa unaamini kilekile unachoamini leo? Je, imani yetu ni ukweli tuliougundua au ni sehemu ya mazingira tuliyokulia?
Time of religion is over .
Stop whining. Time of true love and true family has come. Time for one family under God, without any need for religion.
Conditioning.
The colors are not moral beings. Black isn't evil. White isn't inherently good.
Nature doesn't operate according to humanity's color-based moral hierarchy.
1
87
Waafrika Mnatakiwa kujua sisi Sio ndugu Sisi ni Familia kaka na Dada na Wenza ndio Uzao wa miungu hao Mababu zetu Tupo Hapa kupata Uzoefu Furani kwa Vitendo kwa Viumbe visivyo vya Kiroho Caucasian ndio hawa Walio waletea Dini Asili yao Ni Ubinafsi WamechuKua Vipengele Vilivyopo
My sis you listening to respond and not to understand that's the problem 🤦
Replying to @Cj25_7
Our mindset plays a powerful role in shaping our lives, but faith can also inspire courage,hope, and resilience. Sometimes, the greatest strength comes from believing in yourself while staying grounded in whatyou believe. 🙏❤️
1
33
They even translated the bible/Quran to all local African languages but never translated science, technology Amka uzuri wkt wako ukifika utatukuta hatuna chuki
Replying to @BillyTronix1
Siku zote nasema hawa wapinga dini wengi wao ni wakristo waloshindwa na dini zao sasa wanataka kushambulia dini zote kwa kisingizio cha uafrika 😁😁
1
48
Religion says U have no power U must pray for God's mercy. Spiritually says U ARE the power.
KABLA HUJAWA MFIA DINI WA IMANI ZA KIGENI, FIKIRI ILI USIJE UKAGEUZWA MBUZI WA KAFARA✍️
👉 Mungu hana dini, bali dini ni mfumo wa utumwa wa kifikra.
👉 Nchini China kuna watu zaidi ya bilioni 1.5, lakini Waislamu ni asilimia 2% tu na Wakristo ni asilimia 1% tu.
👉 Zaidi ya asilimia 30 ya Wachina hawana dini yoyote, idadi ambayo ni kubwa kuliko waumini wa dini hizo mbili kwa pamoja.
👉 Pamoja na kutokuwa na dini hizo, China imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo na ustaarabu.
👉 Kwa upande mwingine, Afrika tuna idadi ya watu bilioni 1.5, lakini Uislamu na Ukristo vimetawala maisha yetu yote.
👉 Matokeo yake, huku Afrika makanisa na misikiti vimekuwa vingi kuliko viwanda vya uzalishaji.
👉 Nchini India nako wapo watu bilioni 1.5, lakini Uislamu na Ukristo vipo kwa asilimia ndogo huku wengi wakishikilia imani zao za asili.
👉 Mungu hana dini, lakini sisi tunabaguana na kutengana kwa sababu ya mapokeo ya kidini.
👉 Ukimuuliza Muislamu dini ya Mungu ni ipi atakuambia ni Uislamu na Mkristo atakuambia ni Ukristo, vivyo hivyo kwa madhehebu mengine.
👉 Kama Afrika tungetawaliwa na Wachina au Wahindi, leo hii tungekuwa wafuasi watiifu wa Ubudha au Uhindu.
👉 Siri kubwa ya mafanikio ya China na India ni kutoruhusu imani hizi za kigeni zishike hatamu na kutawala akili za watu wao.
👉 Leo tunaaminishwa kuwa Israel ni taifa teule la Mungu, ilhali mauaji ya watu wasio na hatia yanaendelea huko kila kukicha.
👉 Mababu zetu waliishi miaka mingi yenye neema na baraka tele kabla ya ujio wa Uislamu na Ukristo.
👉 Waarabu na Wazungu walipotuvamia, walitutawala, wakatufanya bidhaa za kuuzwa na kutulazimisha tuache njia zetu za asili za kumwabudu Mungu.
👉 Haingii akilini kuamini kwamba watu waliotutesa na kutuuza kama wanyama walikuwa na upendo wa kutupeleka peponi.
👉 Lengo kuu la dini lilikuwa ni kutugawa ili kututawala kirahisi, Dini ni utumwa usioacha makovu mwilini bali unafunga akili.
👉 Ukihoji mafundisho haya kwa kina unaambiwa unamkufuru Mungu, mbinu inayotumika kukufanya ubaki kifungoni milele.
👉 Dini ya kweli ni matendo yako mema kwa binadamu wenzako na viumbe wengine, hiyo ndiyo ibada na pepo ya kweli.
👉 Ustaarabu hauletwi na wingi wa nyumba za ibada, China wana maendeleo makubwa kuliko Afrika iliyogubikwa na dini kwa asilimia kubwa.
👉 Dini imekuwa biashara kama biashara nyingine na usipokuwa makini unageuzwa mtaji wa kuwanufaisha wengine.
👉 Tumeshuhudia majanga ya imani potofu kama mchungaji Mackenzie wa Kenya aliyesababisha vifo vya watu 191 kwa kuwalazimisha kufunga hadi kufa, na Joseph Kibwetere wa Uganda aliyewateketeza waumini 300 kwa moto baada ya utabiri wake wa mwisho wa dunia kufeli.
👉 Tunakesha tukifunga na kuomba miujiza ya utajiri makanisani na misikitini, huku wageni wakichimba madini yetu na kuchukua rasilimali zetu mchana kweupe.
👉 Tumefundishwa kusamehe na kuvumilia umasikini hapa duniani tukiahidiwa makasri ya dhahabu mbinguni, ilhali waliotuletea imani hizi wanajenga pepo yao hapa hapa duniani.
👉 Inasikitisha kuona Mwafrika anamchukia na kumwaga damu ya ndugu yake wa damu kwa sababu tu ya kutetea mapokeo ya mgeni asiyemtambua.
👉 Badala ya kutumia akili zetu kugundua teknolojia na tiba, tumebaki kusubiri maji ya upako na visomo vituponye magonjwa yanayotokana na ujinga wetu wenyewe.
👉 Historia itatuhukumu vikali kwa kuruhusu minyororo ya kifikra irithi nafasi ya minyororo ya chuma iliyowafunga babu zetu.
👉 Viwanja vya maombi vimegeuka kuwa masoko ya biashara na minada ya miujiza, ambapo manabii kama "Mwamposa" wanajilimbikizia utajiri mkubwa kwa kuuza mafuta ya upako na maji ya baraka kwa wananchi wanaoteseka na lindi la umaskini.
👉"Mwamposa" na wafanyabiashara wenzake wa dini wanatumia umaskini na tamaa za miujiza za wananchi kujinufaisha na kujilimbikizia mali✍️
By @nguchiro47 ✍️
44
2/ MACHAKATO WA PILI
tunaanza na ZAWADI na ADHABU dini zinatumia mbinu hii wazazi wanatumia mbinu wenda hata sisi tunatumia mbinu hii kwa wapenzi wetu marafiki mitandaoni bira ya kujua kuuzuia uhuru wetu












