Chiggs (@Chiggscom) header
Chiggs (@Chiggscom) profile picture

Chief Of Staff

Tz 444
Joined July 2019
Kuna nyakati wanaharakati wetu wamekuwa kama zombies amani ni kweli uanaharakati ni biashara inayolipa. Walianza kutangaza muda mrefu kuboycott mitandao ya simu na hawakuwahi kufaulu, na wamefanya mara kadhaa dhidi ya ASAS na bado baada kusoma nikaenda ASAS na kunywa mtindi😁😂
15
Our very own Titanic🙆‍♂️ This is sabotage
47
CCM OYEEE! KIDUMU CHA MAPINDUZI
1
187
Mamba ametukanwa na mto umevukwa! Trump atapata wakati mgumu sana kwa miaka yake miwili ofisini. 1. Legislative agendas za Serikali ndani Congress zitakutana na vilima vingi, 2. Kama alivyojitabiria, IMPEACHMENT inampigia hodi kila mahali. 3.Sabpoena kwa Trump ni za kufikia
55
Kwa mwenendo wa matokeo haya ya midterm elections, Trump huko alipo na Republican yake ajiandae, watamtengua kiuno ikiwa watabaki kuongoza Senate na Baraza la Wawakilishi. Impeachment inamnyemelea huyu baba!
53
Wanaharakati wanachekesha kama hawatoki kwenye chama chako....utadhani kuna class struggle between them! Wote wanatamani kui lead Chadema na kuinfluence decisions za Chama juu ya jambo lolote dhidi ya serikali. Maria kafuata Roma, Roma akapiga sarcasm na goons wakaruka nae
53
UNANIJUA??? Nabii kakutwa na nini? Mbowe akiwaona wafuasi wa Lissu hasa hawa wakubwa wakubwa anainamaaaa kwa aibu na uchungu. Imagine enzi zile Lema akimtishia Mbowe kwamba akisema fyuuuu, Lema ataitisha press na kuongea makubwa
63
Replying to @barakamossess
Kwa uzoefu wako, umewahi kukutana na wanaCCM huko mitaani wakitangaza kuwachomea Chadema ofisi zao na biashara zao?
2
67
A TALK OF DESPAIR. Tiva kakutwa na kitu gani? Hii ya "Fanya mpango uondoke" ina maana gani? Wanaharakati wameelekezwa kuondoka sanctuary city? Hao "WASENGE NAMBA MOJA" ni kina nani? Binafsi naamini tunawezafanya politics na harakati tukiwa kama Taifa moja, ila si UASI na FUJO
30
Unapiganiaje kitu usichokiamini wala kukiishi? CCM tusiowahi hata kutoa vitisho kwa Mtanzania yeyote, leo unapishana na Mtz anakutishia kukuchoma moto, kuchoma ofisi yako na biashara zako na akihamasisha vitendo vya namna hiyo dhidi yako! Twaha huyu huyu mkufunzi
42
Tafsiri yake ni nini huko mbeleni?
26