
CEO #Chef'Gexperince/gtikaClothingLine # Facebook George Julius Twitter @gtikauchebe WhatsApp 0765889178/ 0758336469 #I'm ChefByProfessional
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2016
- Tweets59.3K
- Following951
- Followers6.4K
- Likes14.3K
Chef G retweeted
When Eminem and 50 Cent share the stage, hip-hop history comes alive. 🐐🔥 Two legends, one unforgettable performance! 🎤
Chef G retweeted
2PAC Listening to the outro of "Hit Em Up." Bro making sure he got all the names right 😂(1996).
Chef G retweeted
Wakuu kumbe hata baba wa taifa alikuwa anagida safari lager🙌🏾
Sema baadae akaziacha akawa anagida mkulima wine kutokea Dodoma pale.
Dingi alikuwa mastermind sana, Rolemodel kabisa
Chef G retweeted
Sound Solution (Bongo Rec) & M J Records 🎙️ zitabaki kuwa studios bora kuwahi kutoa hit songs tofauti tofauti na producers tofauti katika vipindi tofauti na mostly producers walipita studios hizo walienda kutengeneza hit songs zaidi. Itoshe kusema zile ni zaidi ya vyuo vya mziki.
Chef G retweeted
Track number 21 kwenye #FullIleBaraka ni OUTRO ambayo imefanywa na Double Y.
Imetufungia album kwa namna ya kipekee kabisa.
Credits kubwa kwa wote walioshiriki katika Ujenzi wa mradi huu
#Watengwa #WatengwaWtc
Chef G retweeted
Y’all welcome for the second episode of “SHOE GALA” happening today…
Location: OhSnap Studio, Masaki
Time: 16:00HRS - 22:00HRS
Entrace: FREE a.k.a BURE KABISA!!!!
#SH4L #WeMove #ShoeGala #161 #JohariGin #Studio905 #ChakulaGang
Wakuu nunueni tiketi msitufanyie hivyo 😂😂😂
fivandfriends.hustlesasa.sho…
Chef G retweeted
Track number 20 kwenye #FullIleBaraka ni "Mtafutaji".
Watengwa ni watafutaji tangu enzi na enzi.
Kwenye hii ngoma, wameshirikishwa Mama C na Stopa Rhymes "Yokoi".
Production ni ya Double Y.
Chef G retweeted
Solo Thang -Tukusa 3V (Shangazi kaja) _Produced By Black Ninjah youtu.be/on0XIvFqJV4?is=1-A9… via @YouTube
Chef G retweeted
Too Much for Yah youtu.be/r_CctCoo43Q?is=sMQz… via @YouTube
Chef G retweeted
Track number 19 kwenye #FullIleBaraka ni Interlude ya Mama Charlotte O'Neal.
Mama C amekuwa mlezi wa Watengwa tangu enzi na enzi na amekuwa sehemu kubwa ya harakati zetu.
Mama C ni Mtengwa.


























