Chifu (@ChachaMayagilo) header
Chifu (@ChachaMayagilo) profile picture

And Still I Rise

The Milky Way
Joined March 2011
Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)Photo by Chifu (@ChachaMayagilo)
Ikulu, Chamwino, Dodoma katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Pamoja na mambo mengine, mkutano huu unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
156
236
10
787
41,406
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Sheikh Muhammad Iddi (Abuu Iddi), Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mwinyiamani, Mshauri wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Ali Mbwana na Mratibu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, kilichotokea leo Alhamisi, Januari 30, 2025. Natoa salamu za pole kwa familia, Mufti Mkuu wa Tanzania, Waislamu wote nchini, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu. Tumeondokewa na mtu aliyeipenda nchi yake, mwalimu katika imani, mlezi wa wengi katika imani, mpenda haki, mpenda ukweli, umoja, amani na utulivu wa nchi yetu, aliyetumia muda wake mwingi kuyasimamia na kufundisha hayo kupitia mawaidha yake. Mwenyezi Mungu ampe Kauli Thabit, amsamehe makosa yake, amzidishie katika mizani mema aliyotenda, na ampe nafasi katika Pepo yake. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
317
271
23
1,821
127,037
FAKE NEWS
This man is suicidal. @PaulKagame needs to be disciplined as he has been a destabilizing force within the region. He is now flexing his muscles against the US France etc… This guy needs to go to his ancestors and the entire EA will be at peace. #TanzaniaLeaks
2
994
Fei Toto namfananisha na Diamond kwenye kuleta mapinduzi na heshma kwa wasanii wa ndani. Diamond aligoma kupiga fiesta kwa hela ndogo halafu anakuja 50 Cent ameshachakaa anakula hela kibao. Mna mpa Bigirimana 18M na Fei 4M, ni haki kweli? Why hamthamini wa nyumbani? Safi Feitoto.
11
5
1
58
4,737
Upuuzi huu. Kocha aliyeko anajiskiaje?!
Should Simba S.C get a new head coach?
57%Yes
43%No
40,764 votes • Final results
1
1,169
Ukiachwa achika. Hapa kwanza kuna vitu kibao tayari mmeshajimix. Mara hakuna mazungumzo, mara kuna mazungumzo. Mara mchezaji haruhusiwi kuvunja mkataba mara anaruhusiwa.
1
4
1,576
Kachambe bwana. No one gives a shit about you.
KUNA HIVI VITU VIWILI HAPA ✊🏿🇹🇿 1: Baadhi ya wana CHADEMA hawanipendi kwasababu naonyesha kumsapoti JPM 👊🏾😎 Nasapoti Mazuri aliyoyafanya BILA UNAFKI 2: Baadhi ya wana CCM hawanipendi coz naikosoa Serikali yao 👊🏾😎 Siikosoi kwa Ubaya, nawaonyesha panapovuja ili warekebishe
1
2
1,103
Yaani chama kikuu Cha upinzani kinalilia viongozi wa Serikali kutokuepo kwenye uzinduzi wa kujaza maji bwawa la Nyeyere kweli? UFIPA Jana hawakuwahi kunywa dawa kwa kweli, jitahidi sana msisahau kunywa dawa Ili muwe na ajenda mzuri kwa wananchi, 2025 sio mbali
19
8
1
69
21,363
Elimu ya ufundi inasogezwa karibu zaidi na wananchi Serikali ikijenga vyuo 63 vya VETA katika wilaya zote ambazo hazina vyuo hivyo. #MamaYukoKazini anafungua fursa za ajira kwa vijana na kuzalisha nguvu kazi yenye ujuzi.
3
15
21
1,220
Walimu wote 275,209 wa Tanzania Bara na 6,600 wa Zanzibar wamepatiwa vishikwambi ili kuboresha ufundishaji na ujifunzaji. Mpango huo unadhihirisha azma ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu kukuza matumizi ya TEHAMA shuleni ili kuendana na mahitaji ya karne ya 21. #MamaYukoKazini
12
15
30
5,158
Kubwa za wiki. #MamaYukoKazini
2
14
14
1,144
Yaliyomo #BwawaLetuLaNyerere Limejengwa daraja la kudumu (urefu mita 250, upana mita 10) ambalo litaunganisha mikoa ya Kusini na mikoa ya Kati na Kaskazini. Litarahisisha usafiri, abiria anayekwenda Dodoma/Tanga kutoka Mtwara hatolazimika kupita Dar es Salaam. #MamaYukoKazini
3
16
1
25
4,009
#AsanteRaisSamia2022 Yaliyofanyika kwa Machinga; ✅ Ametengea maeneo na kuwajengea masoko ✅ Ametenga TZS milioni 10 kwa Machinga kila mkoa ✅ Amewezesha upatikanaji wa mikopo nafuu ✅ Wamepatiwa mafunzo Lengo ni kukuza biashara zao. #MamaYukoKazini
11
16
904
Anatumika
Ila Zitto anafanya kama anautaka U-PM!! Anamkandia Ka📱kila wakati. 😂😂
1
341