Pinned Tweet
Hawa wote ni marafik zangu, nilimaliza nao chuo UDSM mwaka 2021,Mmoja kafa kwa ajali mwaka 2023 mwingine kafarik December 2024, nae kwa ajal, waendelee kupumzika kwa aman.! 😥
Cdee Pakah🇹🇷🇹🇿 retweeted
#TajiriLaKihaya
Assalam Alaykum,
Kabla weekend haijachanganya mambo yakawa mengi…
Naomba leo niandikie namba ya METER na jina la MSIKITI ambao utajaaliwa Kuswali Ijumaa leo hapo kwenye COMMENT…
nataka kununua LUKU za Elfu tano tano kwa Misikiti 100.
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
_Ulishawah kujiuliza kwa nini asilimia kubwa ya MITUME na MANABII wengi walitumwa / walitokea (Middle East) Mashariki ya kati.!? Na sio pande nyingine za Dunia kama vile Zimbabwe, Mexico, Kwa nini ilikua Middle East.? 🤔 @EsirEid @Sirjeff_D
3
160
Cdee Pakah🇹🇷🇹🇿 retweeted
Replying to @ezzoykimath
Anza MAPEMA, the earlier the better
Nilianza ujasiriamali serious nikiwa na miaka 17 kipindi nipo high school
Chuo nilitumia muda mwingi kupiga mishe kuliko kusoma
Kingine, mpende manzi anayekupenda sio unaempenda
Ni sahihi kabisa kuwa tofauti na watu waliokuzunguka
Cdee Pakah🇹🇷🇹🇿 retweeted
Samsung S20 Ultra
128GB|Ram 12GB
Black Color
Tsh 600,000/= tzs
NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Exchange & Top up allowed
📞/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST 🌺🔥🥀
Cdee Pakah🇹🇷🇹🇿 retweeted
Moshi na Arusha ndio sehemu pekee Tanzania watu hawashangai watu!
Wapo na composure,busy na mitikasi yao....
Cdee Pakah🇹🇷🇹🇿 retweeted
At the @AESIS_summit !
.
Anyone attending lets connect !!
Cdee Pakah🇹🇷🇹🇿 retweeted
BREAKING:
The Russian army fired a new intercontinental ballistic missile towards Ukraine.
The Ukrainian army has declared an air alert throughout the country.
Cdee Pakah🇹🇷🇹🇿 retweeted
Kilio kimesikika.. It’s happening.. StarLink
Starlink ni kampuni ya Elon Musk. Inasambaza internet kama zilivyo kampuni za simu au zuku, TTCL na wengineo. Starlink inatumia satellite.
Wakitupa Rates Kama za Kenya bei inaweza kua Hivi:
▪️Hardware Kit (Mini) - 560,000 Tsh (Kidishi) - Unaweza connect device 128, na inashika umbali wa mita 112.
▪️Hardware Kit (Normal) - 936,000 Tsh (Kidishi) - Unaweza connect device 235, na inashika umbali wa mita 297.
▪️Pia wana option za kukodisha kile ki dish kwa 40,000 Tshs
▪️Unlimited kwa mwezi 135,000 (Nyumbani)
▪️Unlimited lite kwa mwezi 83,000 (Nyumbani one location)
▪️GB 50 kwa mwezi - 30,000
▪️Options zote zinakupa internet speed ya 50mbps mpaka 220mbps
▪️Unaweza lipia online au kwa mobile money
▪️Ukitaka kununua devices.. Wana distributors wao watatangazwa.
Cdee Pakah🇹🇷🇹🇿 retweeted
Russian President Putin says the West is promoting open satanism by adopting gay and transgender rights.
Cdee Pakah🇹🇷🇹🇿 retweeted
Excited to head to Cape Town for the @AESIS_summit at the end of this month with the @ennovateventure team.
As part of the #TheNextFund portfolio, we've been collaborating closely to scale our business.
Eager to connect with investors, founders, and partners.!



























