SOYA retweeted
Hakuna Mwanaume Aliyekufa Kwasababu ya Kuchelewa Kuoa ila Wanaume Wengi Wanakufa Kwasababu ya Kuoa Wanawake Wasio Sahihi.
Maamuzi ni yako Broo.
SOYA retweeted
You cannot hurt a man who is okay with not being accepted, invited, included or considered.
Be that man
SOYA retweeted
Nasikiliza Njia Panda Clouds Mtoto Anatatizo la Figo Mama Ake Analia Tu hana Uwezo Hatukatai Pesa Hainunui Uhai ila Kuna Muda Pesa inahitajika sana kwenye Maisha yetu.
SOYA retweeted
Unamuaga mtu usiku mwema anakuuliza kwani ndo unalala sasa usiku ni kwa ajili ya nini kwani??
SOYA retweeted
TRUE STORI
Kuna jamaa hapa ananismulia, alikuwa na demu wake walipendana sana.
Anasema siku moja alishangaa demu kampiga chini ghafla sana.
Unaambiwa hamna siku aliumia kama hiyo. Hata kula ilikuwa ngumu kwa jinsi alivokuwa anampenda š¤£
ššæ
SOYA retweeted
"Haya mambo ya Utekaji mmechukua hatua gani kama sio kazi yeni ni Kazi ya kina nani ?"
"Sina chama cha Siasa nawaamsha Msiwe Wajinga...."
Ney wa Mitego new Song
SOYA retweeted
Broo Kama Uliwahi Mtongoza Mwanamke Na Akakutaa kutokana na Kipato Ukifanikiwa Usije Kumtafuta Wala Kumsikiliza hata Kwa Sec Moja.




















