Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_) header
Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_) profile picture

S I Y A B O N G A B A B A🙏🏽

Morogoro, Tanzania
Joined December 2019
Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)Photo by Captaιn Mƙυυ🎖️ (@CaptainGerry_)
Pamoja na ubize wako usisahau kutenga muda wa kushiriki matukio ya kijamii kama sherehe na Misiba.
68
159
7
968
BREAKING. Mauricio Pochettino has never lost a match as Manchester United manager since he arrived. #GGMU
2
94
Mungu atuepushe na Changamoto tusizoweza kutatua kwa Pesa. Good Morning Family.
157
Kuweni makini na wale mnaowaita marafiki katika maeneo yenu ya kazi. Good Morning Family.
1
1
1
175
Tumshukuru Mungu kwa zawadi kuu ya uhai. Good Morning Family.
2
1
4
193
Usisahau kumshukuru Mungu kwa kibali cha kuiona siku mpya. Good Morning Family.
8
11
28
381
Mungu wa Faraja - Paul Clement ft Elia Mtishibi. Good Morning Family.
1
189
Mungu yule yule aliyewapa wao, ndio Mungu huyo huyo atakaetupa na sisi. Good Morning Family.
11
13
33
430
Kwa msaada wa Mungu, tutashinda ya dunia. Good morning Family.
2
5
8
287
Mwisho wa ubaya ni AIBU. Good Morning Family.
5
3
16
407
Kwa wakati sahihi wa Mungu, TUTATOBOA tu. Good Morning Family.
8
6
16
408
Jenga tabia ya kujiamini na kujikubali bila kudharau wengine. Good Morning Family.
11
12
30
481
Afya yako ya akili ni muhimu kuliko hayo mahusiano yako unayopambana peke yako kuyatunza. Good Morning Family.
11
12
19
392
Ukipunguza matarajio juu ya watu, utapunguza maumivu na msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa juu yako na maisha yako. Good Morning Family.
9
7
32
580
Unachokiona na kukisikiliza kwenye simu yako ni kwaajili yako si kwaajili ya ulionao, balance sauti ya simu yako, kila mtu ana kitu/vitu vyake anasikiliza. Good Morning Family.
11
14
1
27
527
Bila VPN✌🏽✌🏽✌🏽
1
2
726
Usimwaminishe mwanao kua serikalini ndio mahali pekee kwa kupata ajira baada ya masomo yake. Good Morning Family.
1
244