Britanicca (@Britanicca0) header
Britanicca (@Britanicca0) profile picture

whistle-blower living in Vladivostok Russia , CCM Member Since 2002, Defending People.

Vladivostok, Russia
Joined April 2021
Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)Photo by Britanicca (@Britanicca0)
N'essaie même pas ça si tu es noir comme moi. Par contre, qui sont ces fous-là, wesh ? 😭
137
1,834
29
61,876
7,420,553
Britanicca retweeted
He stole the cash off the table!🥺😞😱....
15
84
1
670
123,184
Britanicca retweeted
Namlaani sana aliyemdanganya wema kupunguza Utamu wetu yan
1
2
1
Britanicca retweeted
Nauza account Ina followers 91K kwa 1M Nyingine Yenye 10K nauza kwa 250,000 Ya 2000 followers ni 70,000
2
134
Haina madhara Mara ya mwisho Rais aliyeko madarakani chama chake kushinda midterms ni 2002 (Bush.. tena kutokana na effect ya 9/11) Kabla ya hapo Clinton (1998) na Roosevelt (1934) Ukishika Ikulu lazima ugaragazwe midterms. Kwenye siasa za Marekani haiwezekani kabisa kushinda Urais na midterms Mazoea ya Marekani ni Ukishika Ikulu, lazima ugaragazwe kwenye midterms. Midterms huwa ni kura ya maoni dhidi ya Rais aliyepo madarakani. Tangu Vita vya Pili vya Dunia, chama cha Rais kimepoteza wastani wa viti 26 kwenye House kila midterms. Kushinda midterms kama chama tawala ni MIUJIZA, na imetokea mara 3 tu kwa miaka 90 iliyopita: 1. 1934 - Franklin D. Roosevelt Ameongeza +9 House na +9 Senate. Watu walipiga kura kwa sababu ya New Deal yake dhidi ya Great Depression. 2. 1998 - Bill Clinton Ameongeza +4 House, 0 Senate. Hii ilikuwa kwa sababu Wamarekani walikasirika na Republican kutaka kumfukuza kazi Clinton kwa kashfa ya Monica Lewinsky. Uchumi ulikuwa vizuri sana na approval yake ilikuwa 66%. 3. 2002 - George W. Bush Ameongeza +8 House na +2 Senate. Hii ni ile unayosema, ilikuwa effect ya 9/11. Uzalendo ulikuwa juu, watu walimpa Bush support. Kabla ya hapo, ilikuwa 1902 - Theodore Roosevelt. Kwa hiyo kauli yako ya pili nayo ni sahihi - haiwezekani kisiasa kushinda vyote viwili kwa nguvu. Ukishinda Urais, utalipia gharama kwenye midterms. Hata Obama 2010 alipoteza viti 63, Trump 2018 akapoteza House, Biden 2022 akapoteza -9 House ingawa alishinda +1 Senate. 9968 Ndiyo maana 2026 kwa Trump tena itakuwa mtihani mkubwa historia iko dhidi yake.
Mzee wangu Trump haamini anachokiona aisee! anapigika kwenye uchaguzi huko
1
6
33
5,455
Britanicca retweeted
Anakataa kuwa Kisamvu hakijaguswa Alafu unaendelea kusisitiza kuwa nyuma yake ? 😀
2
1
1
382
Uanaharakati si Kuchafua nchi bali kuwajibisha Viongozi wasio makini ila nchi unaiweka safi, NENO HARAKATI LINATUMIKA VIBAYA SANA
1
2
5
Britanicca retweeted
Wananchi na wanavyama muwe makini na Wanaharakati Wengine Nilishangaa siku moja Mange anasema “NAONA HARAKATI HUWEZI ZIFANYA TWITTER MAANA WANANCHI WENGI HAWAKO TWITTER,BORA FACEBOOK NA INSTAGRAM HIVO NAOMBA MUHAKIKISHE MNAMUANDIKIA META WANIFUNGULIE ACCOUNT ZANGU ILI👇🏾👇🏾
Kaongea sana mwisho anakua anasikika kama anapiga makelele wakat anajiona anaongea, chama kina utaratibu wake na mambo ya msingi huenda kwa vikao sio 🗣
1
1
3
1,199
Britanicca retweeted
Ukiwa unafanya harakati Tanzania muda mwingine Changanya na akili yako! Watu wanafanya harakati kulingana na Ana chuki na nini au na Nani si kwa nchi 👍🏽
This quoted post is unavailable.
1
2
2
10
1,411
Britanicca retweeted
Niliandika sehemu kwamba uanaharakati TZ ni mbinu si matusi,Huyu Ponda katoa pole Kwa Samia na miongoni mwa nguzo za harakati haswa!Je naye tumtukane?Let us focus Kwenye mambo ya wananchi,tusidandie kila topic! Tunajua CCM imeumiza Watu hasa October 29,Ila pole ni mtazamo wa mtu
19
3
3
74
6,209
#TajiriLaKihaya Binafsi LEMA nakubaliana nae Asilimia 💯 Lema Ni Mwanasiasa Mwenye Upeo mkubwa saana wa mambo!
#TajiriLaKihaya Watu wanaojidai kushangazwa/kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO! Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNo … International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifatwi… Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE! Iran,MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABAKE MZAZI,MKE wake na Familia yake…wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168… wamelipua miundo mbinu nk… Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee… Alafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze- Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi… Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida… mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini… kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani! Yaani mtu mmoja akupiganie wewe… Kama kweli mngekuwa na hio NIA… Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru… Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini… Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk. UCHUMI usimame… Wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI… Ila nyie mnaendelea na your normal duties- mmeshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAM… Alafu LISSU awapiganie😅 mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI… sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI… Hakuna HAKI kwenye DUNIA KATILI… Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachukua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
12
7
1
38
2,457
Britanicca retweeted
Hawa watu hawajui mambo mengi sana.. Na bahatimbaya hawajifunzi .. Hakunaga wanaharakati humo hao wote ni commercial activists na bila grants hawafanyi kitu
Hakuna harakati anazopiga yeye ni pesa tu, Yaan na kugain status kimataifa basi! Mange huyu ipo siku utamuona Ana mnanga Lissu au ana side na CCM kwani si amempokea Samia Marekani baada ya Mekko Kufa?
2
6
2,441
Lissu yuko anatengeneza notice mpya za kufundishia chuo kikuu kitengo cha sheria, na pia Ameweka Precedent kwa hukumu za baadae, Kaondoa uoga kwa watu kuhusu haya ya kusingiziwa kesi ngumu ngumu, Atakuwa kaset standard mpya ya kupigania haki, Nina uhakika kabla ya 2050 Tanzania itakuwa vitundulissu zaidi ya 200 hapo ndo hata watawala wataanza kuheshimu wananchi Nataka kutengeneza kitabu cha jinsi Alivyokuwa anafanya kesi yake tokea mwanzo hadi kwenye submission Credit Ntawapa waliokuwa wana report Moja kwa Moja toka mahakamani na pia pesa itakayopatikana iingie mfukoni kwa Lissu Na ..Tanzania Abroad Tv
26
62
2
480
21,640
Apparently Hilda was peddling porkies here
Kama uko na taarifa credible ya mtu aliye toa ushauri huo mbovu ni bora kumtaja wazi na wengine wajue. Haina maana kuficha details
1
2
18
3,925
Mtu unaoga vizuri, unajipaka mafuta na unajipulizia perfume unawasha gari yako hadi Mwenge unaweka vocha unanipigia nakupokea vizuri naongeza na AC usipate tabu na joto halafu kauli yako ya kwanza unaomba nikukopeshe 18 Pro max. Simu ya 4m nakukopeshaje jamani hebu tuwe serious.
47
29
10
361
22,953
Britanicca retweeted
Hakunaga mwanaharakati hapo kaka ni vile nchi yetu ina watu wapumbavu wengi sana...
Ukweli au uongo utengwe we dada sasa unakuwa muongo lema hakuna alipotamka hivi ! Mbona mnajishushia heshima mlojenga kwa muda mrefu ?? Wakati tumesikiliza Live ?
2
8
2,791
Britanicca retweeted
Kazi waliyopewa wanaharakati ni kuhakikisha CHADEMA inakuwa kama CUF baada ya kuitumia weee kujipatia pesa nje na mission zao kadhaa! They want to be with voice over leaders in the part! I will retweet in 2030 MUNGU ATUWEKE 👍
11
6
2
52
6,809
Britanicca retweeted
Kwanza kuna mambo mnaongeaga hadi mnavyoongea mnajichanganya MBOWE arudi Chadema kufanya nini? Chama si mali yake! Lakin pili mnaijua Katiba ya CHADEMA?Ninyi watu aisee! Kwanza Kikwete Mwenyewe na Samia hawapatani kiviile siku za karibuni! Si yote tunayojua lazima tuyamwage hapa
Dalali atarudishwa kuifanya CHADEMA iridhiane na Bi Msumi
12
5
1
69
16,793
Britanicca retweeted
Hiyo tunajua ila nawaambia huyo dada kalishwa tango!! Hukumu haitakuwa hivo hata kidogo! Alafu Chadema kwa sasa imeshavuka levo za vyama vya kwenye flash! Hawatatetereshwa
Replying to @Britanicca0
Kama Makamu wa Rais anapotezwa na hakuna anayeguna, Kuna ugumu gani Mhe Mbowe kurudi CHADEMA....?
3
1
23
2,998
Haijalishi una changamoto gani, au story yako ni ya kuhuzunisha namna gani, kama unahitaji msaada wa kifedha usisumbuke kuja DM kwangu, mimi sina uwezo wa kukusaidia.
14
27
56
1,181