Pinned Tweet
Replying to @godbless_lema
@godbless_lema akili kama hii ndiyo ulitaka itoke jela kwa strategies engagement?
Unaweza kukubaliana na Lissu au kumpinga, lakini huwezi kupuuza misimamo yake. Je, misimamo yake ni nguvu ya mabadiliko au chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla? 🧐
mikato_kuntu retweeted
CHADEMA Jimbo la Bunda Mjini Mkoani Mara wameweka wazi msimamo wa Chama ngazi ya Jimbo kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama. Wamemshangaa Katibu wa Jimbo Zakaria Bubura kwa usaliti wake.
mikato_kuntu retweeted
Kakatazwa kuongea na wananchi sasa hivi anaongea na aliyemkataza kuongea. aloo ngoja tuone watamndugai au watamnchimbi
mikato_kuntu retweeted
🚨 A new tifo is set to be unveiled at the Emirates for Man City on Sunday, per @IsaanKhan_. 🔥
An idea to reference City’s financial charges was dropped after talks with the club-focusing instead on inspiring the crowd and creating a hostile atmosphere, with Arteta even reviewing the design. ✅
mikato_kuntu retweeted
Tunahitaji Yanga imara ambayo inaweza kushindana na Simba. Tunahitaji Yanga imara kwa ajili ya timu bora ya Taifa Stars. Ninawaombea Yanga waweze kupita katika kipindi hiki kigumu kwao, wanapaswa watulie na waungane upya. – at Dar es Salaam, Tanzania
mikato_kuntu retweeted
Kipi kinaboa Kati ya kuvaa viatu vikubwa vinapwaya au kuvaa viatu size ndogo ila kuninakubana.
mikato_kuntu retweeted
Fuming after that result.. headlocking random people on the street! 🤬
#MUFC
Hata Ipswich wanajiuliza, imekuwaje wao tu ndio wamejikuta wakifungwa na Manchester United msimu huu? 🤔🤣🤣
mikato_kuntu retweeted
We are too easy to play against
Brentford be coming of the pitch and saying never had it so good.
Never had so much time in possession!
Transitions!!!!!!!!!!!!
#mufc
mikato_kuntu retweeted
Ndani ya KKKT Askofu ambae namjua huwa anasimamia Haki ni Dr. Bagonza tu kama kuna mwingine wewe unamjua kwenye hii video nitajie.
Hata Pochettino kwa sasa anajiuliza alikubali nini kuja huku! 🤣🤣 Naona na yeye kibarua chake kipo kwenye hatihati, si ajabu akawa wa kufuata! 🤔🫣
Kwa sasa kila timu ya EPL inatamani kukutana na Manchester United, maana pointi tatu zinaonekana kama zawadi! 🤣🤣🤣













