Big 0047 retweeted
Tuongee serios kidogo 馃ゲ
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mapenzi ya chuo na mwanachuo mwenzake wakatoboa hadi kuoana kabisa?
Naomba atupe somo hapa ilikuaje 馃ゲ馃
Big 0047 retweeted
Movie bora za muda wote
1. Prison Break
2. Money Heist
3. Into the badlands
Taja zako pia 馃嵖馃憞馃徔
Big 0047 retweeted
Chukua 96 alafu Toa Miaka yako uliyonayo sasa jibu lake Jumlisha+ na 1930.
Jibu: Utapata Mwaka sahihi Uliozaliwa.
Big 0047 retweeted
Rukwa kuna mganga anakupa utajiri na hutoi kafala ila unatakiwa kila wiki uwe umelala na wanawake wasiopingua wanne
Watu wengi wameshindwa hii
Big 0047 retweeted
Hivi kati ya
1. LG
2. TCL
3. Hisense
4. Samsung
5. Alitop
Brand gani ya TV bora zaidi na inayodumu muda mrefu zaidi?. Ongeza nyingine pia








