Hiki kitabu kina siri nyingi sana.
Kinaitwa...
"Breakthough Advertising"
Kimeandikwa na "Eugene Schwartz"
Ukipata nafasi kitafuta kisome zaidi ya mara mbili.
Utakuwa na uwezo wa kuandika matangazo yanayogusa hisia za wateja wako na kuwashawishi kufanya manunuzi.