Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania) header
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania) profile picture

Ukurasa rasmi wa Baraza la Sanaa la Taifa-BASATA|Official Page of The National Arts Council of Tanzania. Email us: info@basata.go.tz RTS not endorsements

Ilala,Kivukoni,D'Salaam.
Joined October 2014
Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)Photo by Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) (@BasataTanzania)
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni wa Heshima katika Kongamano la Kwanza la Kiswahili Kimataifa Jijini Havana Cuba litakalokuwa na Washiriki takribani 600 kutoka nchi mbalimbali duniani kuanzia Novemba 7 hadi 10, 2024.
1
209
Mwanamuziki nguli nchini Mzee Makasi leo tarehe 30 Oktoba, 2024 amewasilisha vibao vyake viwili katika ofisi za BASATA mbele ya Katibu Mtendaji Dkt. Kedmon Mapana vinavyohamasisha umoja na mshikamano kwa jamii ya Watanzania.
1
175
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa Dkt. Kedmon Mapana leo Oktoba 29,2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Msanii wa nyimbo za #reggae @Jhikoman mara baada ya msanii huyo kufika katika ofisi za Baraza zilizopo Kivukoni Jengo la Utumishi Jijini Dar es salaam.
121
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa Dkt. Kedmon Mapana Leo Oktoba, 29,2024 atia baraka katika tukio kubwa la ibada ya Wakati wa Mungu Season3 #doubleimpact tukio linalotarajiwa kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es salaam.
97
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa Dkt. Kedmon Mapana leo Oktoba 28,2024 amekutana na kufanya kikao na uongozi wa kwaya ya mtakatifu Makuburi juu ya maandalizi pamoja na kupta kibali ya tukio lao liitwalo KMK Executive Guller litakalofanyika Disemba 14,2024.
1
80
Katibu Mtendaji wa Basata Dkt. Kedmon Mapana leo Agosti 28,2024 amekutana na kufanya kikao na Wadau wa Sanaa kutoka kisiwa cha Mayotte kilichopo Afrika ya mashariki katika bahari ya hindi kati ya nchi ya Msumbiji na Comoro na kufanya nao kikao katika ofisi za BASATA
1
70
Bendi ya muziki Twanga Pepeta wakikiwasha katika sherehe ya Msondo Ngoma kutimiza miaka 60 katika game ya muziki.
82
Katibu Mtendaji wa Basata Dkt. Kedmon Mapana leo Oktoba 26,2024 ametembela katika banda la maonyesho la @Bodi_FilamuTz hapa katika viwanja vya Tasuba @TAASISISANAA ikiwa ni muendelezo wa tamasha la kimataifa la 43 la utamaduni linalotarajiwa kuhitimishwa.
2
66
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa Dkt. Kedmon Mapana akizungumza na Wadau wa Sanaa waliofika katika hafla ya uzinduzi wa msimu wa 15 wa mashindano ya kuimba ya Bongo star search BSS2024 katika ukumbi wa @serenahotels
1
45
"Tuanze kwa kutoa shukrani kwa wasanii kwa kweli wamejitokeza kwa kiasi kikubwa na wamewasilisha kazi zao lakini pia tutoe shukrani kwa jamii kwani wamezipokea tuzo..." ~ Mrisho Mrisho kutoka kamati ya Tuzo za muziki Tanzania TMA.
51
"Sasa hivi tuna category 38 na tunatamani kubaki na category hizo hizo lakini kama kutakuwa na mabadiliko jamii pamoja na wasanii watatuambia na sisi tutabadilika kulingana na uhitaji wa watu" ~ Mrisho Mrisho kutoka Tume ya Tuzo za Muziki Tanzania TMA zilizo chini ya Basata.
31
Rhobi Chacha Mjumbe wa Cha Cha Muziki wa Dansi Tanzania CHAMUDATA na pia ni Mwanahabari wa Kampuni ya Mwananchi akisaini katika kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea katika banda la Basata hapa katika viwanja vya Tasuba @TAASISISANAA leo Oktoba 23,2024.
33
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa Tamasha la 43 la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo limeshirikisha Nchi 9 Duniani ambapo nchi ya Comoro,Afrika kusini na zambia zimeshawasili na nyingine zinaendelea kuwasili ili kishiriki katika Tamasha hilo
1
29
Afisa Sanaa Mwandamizi Basata Bw Agostino Makame leo Oktoba 23,2024 ametoa Rai kwa wasanii na wadau wa sanaa kujisajili na kurasimisha kazi zao. ametoa Rai hiyo katika warsha iliyoandaliwa na Basata kwa kushirikiana na Tasuba @TAASISISANAA
41
Marais wa mashirikisho ya sanaa nchini leo Oktoba 24,2024 wametembelea banda la Basata na kusaini daftari la wageni hapa TASUBA Picha ya kwanza ni rais wa shirikisho la sanaa za maonesho @cynhenjewele , picha ya pili ni rais wa shirikisho la sanaa za ufundi bwana @anyangamalle
41
Afisa Sanaa Muandamizi wa Basata Bwana Agostino Makame akizungumza na mdau wa sanaa aliyetembelea katika banda la Basata katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa Bagamoyo (TASUBA) @TAASISISANAA
39
Hello! @TAASISISANAA Basata tumepiga kambi hapa Miini Bagamoyo, kushiriki katika Tamasha la 43 la Kitaifa la Utamaduni, tutakuwa na banda letu ambapo tutatoa huduma mbalimbali kama vile huduma za usajili kwa Wasanii, Vikundi na sehemu za burudani, tutatoa elimu juu ya Sanaa.
43
Tamasha la 43 la Kitaifa la Utamaduni na Sanaa Bagamoyo lipo tayari kwa siku nne kuanzia kesho Oktoba 23 hadi 26, 2024. Msikilize Naibu Waziri mwana Fa akikueleza mchongo mzima.
41