Portable Routers gani au Mifi ni nzuri kwa mtu ambaye anasafiri safiri mikoani.??, inaeza bebeka kwenye begi bila kuumiza mgongo.
Option 1- Universal
Option 2- Network restricted Mifi eg.Vodacom, Yas Mifi etc.
Ndugu zetu Wa Kenya, ruhusuni Dangote ajenge refinery haraka,kama hamtaki arudi kwetu TZ.
Bei ya mafuta ita tuua ๐
Yule Jose Mla Vichwa tunamuona kama jau jau,
Lakini Nyama ya Ng'ombe๐ฅฉ bei inavyozidi kupaa, tutaja jikuta tunakula Chura, Kumbikumbi,Nyoka, Paka, Mbwa na hatutaona shida.
Tutasema, Kwanza mbona wachina Wanakula, sisi ni nani kwani๐
.
Alafu watu wataona fresh
Nimewaza hapa,
Sijui Serikali itafanyaje, Labda iongeze mifugo kwenye ranch zake au itoe Ushuru wa kusafirisha mifugo, na machinjioni au iruhusu imports za Nyama kutoka Nje ya nchi.
Kwasababu kununua Nyama 1kg๐ฅฉ๐ฅฉ =14K sio bei rafiki kabisa kwa Mwananchi, na bado inapanda. ๐
BL ๐ทโโ๏ธ retweeted
Size:40-45
Tsh.120,000
CONTACTS:+255718007463
For pickup ๐ต ๐ฆ and delivery ๐ต ๐
#zimbabwe #zanzibar #tanzania #Zambia #dodoma #serengeti #Nairobi #kilimanjaro #Kenya
BL ๐ทโโ๏ธ retweeted
Hata sisi tukiwakopesha mali washkaji hawalipi kwa wakati sijui wanafikiri tutazalishaje mali
Case za kununua bidhaa kwa marafiki (support).
Case 1:
Kuna mshkaji alikuwa anauza perfume hizi za kupima,nikachukuaga ya kwanza (ilikuwa fresh)
Ikaisha ,nikamcheki akaniletea ya pili ( ile ilikuwa ni maji yanayonukia๐) yani haikai.Bora hata Spray ya elfu 5.
Basi jamaa ๐
Alinicheki kuuliza vipi hiyo ikoje( nadhani alijishtukia, nkamjibu bro hii hamna kitu) akasema ntakuletea ya kureplace.Nkamwambia fresh, hapa ishapita miezi 4 hakuna kitu kaleta. Na zilizofata sijachukua tena kwake.
Case 2.
Jamaa alikuwa anauza daga kama side hustle, akafosi ๐
Unajua kesho ni Jumapili, Jumamosi usiku wahi kulala ili kesho usisinzie.
Haipendezi unasema umeenda ibadan alafu muda wa neno unakoroma.
Yani ukisinzia ibadani uwe unajisikia aibu.
#Blessedsunday
Nlikunywaga energy nkiwa chuo ( ili nisilale) nitoboe nimalizie assignment ya michoro.
๐๐ punde si punde mbona nili lala, nkasema mimi na energy drink leo ndio mwisho.
Maana if not for the point ya kunywa ili usisinzie, ipi ni point nyingine ya mtu kunywa energy drink..??
Kwahiyo ulizingatia kwamba " You better Watch your Back" sio..??
๐๐
Unaenda dukani unamsemesha muuza duka,anakujibu mara moja kama vile hataki ,unamuuliza tena anakujibu huku anachezea simu,yani hata hakuangalii usoni.
Nimeondoka,nimenunua kwa jirani nkafika pale nkajidai nashindilia vikae vizuri ili aone.
Alafu bado huyu atasema kalogwa??๐ฅฒ๐ฎ
Huu ujenzi wa Sasa wa Bagamoyo road ungeenda sambamba na Flyover ya Mwenge.
Wangekuwa wametusaidia sana kuepuka foleni
Kama vile Kweka kawa Role Model
VIDEO:
Tukio la mauaji linalodaiwa kusababishwa na wivu wa kimapenzi limetikisa Kijiji cha Mapinduzi, Kata ya Kigwe, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 58, Clementine Pius, kudaiwa kuuawa na mumewe, Raphael Ulanga, kwa kushambuliwa kwa shoka kichwani.
Tukio hilo limetokea Octoba 14 majira ya saa 4 usiku ambapo Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu wamesema mtuhumiwa Raphael Ulanga baada ya kutekeleza shambulio hilo anadaiwa kujisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi.
Ndugu wamesema kifo cha Marehemu kimewaacha katika majonzi makubwa, huku wakihimiza wanandoa wenye migogoro kutafuta suluhu kupitia mazungumzo, usuluhishi na msaada wa kisheria badala ya kutumia nguvu.
Akizungumzia tukio hilo, Diwani wa Kata ya Kigwe, Adon Mabalwe, ameeleza kusikitishwa na mauaji hayo na kutoa wito kwa wanandoa na familia zinazokabiliwa na migogoro kutafuta msaada kutoka kwa viongozi na vyombo husika kabla tofauti zao hazijafikia hatua ya kusababisha madhara makubwa.
Aidha Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kuuchukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi na hatua nyingine za kisheria huku mtuhumiwa akishikiliwa kwa ajili ya hatua za kisheria.













