Thank you to all our viewers, listeners, clients and partners for trusting us and choosing us every day. Happy Customer Service Week! 💚
#CustomerServiceWeek2026
Jaji Diana Kavedza Mochache anaendelea kusoma hukumu dhidi ya Mackenzie na washukiwa wenzake kwa vifo vya watu 191 wanaohusishwa na mashtaka hayo. #wimbilabahari
Mwakilishi wa CDC Dr. Wessam Mankoula amehimiza uwajibikaji na wananchi kupewa taarifa sahihi na kwa wakati. #wimbilabahari
huku uchunguzi wa miili 191 ukionyesha kuwa chanzo cha vifo vya wengi hakikuweza kubainishwa kutokana na kuoza kwa kiwango kikubwa. #wimbilabahari
Maafisa wa elimu wanasema watahiniwa hao tayari wamepokea ushauri nasaha na watafanya mitihani yao katika mazingira salama na yanayofaa. #wimbilabahari
Mahakama pia imetambua baadhi ya makaburi yalikuwa na zaidi ya mwili mmoja na yalifichwa ili yasigunduliwe. #wimbilabahari


















