Raila Odinga ni miongoni mwa watu ambao ni mfano wa kuigwa. Hususan kwenye kusimamia misingi aliokua akiiamini. Leo hii Kenya ni miongoni mwa nchi za kuigwa kwenye maswala ya Kidemokrasia. Alipigania haki ,usawa, ukweli na uwajibikaji. Tutamkumbuka daima jemedari huyu.
145
Mkutano baina ya Trump na Putin huko Alaska ni katika harakati za kutaka suluhisho la vita vya Urusi na Ukraine. Mkutano kama huu huwa na umakini mkubwa wa ulinzi na usalama baina ya pande zote. Putin amepita kuzindua kiwanda cha mafuta ya samaki kabla ya kufika eneo la tukio.
102
Dira ya Maendeleo ya Taifa (2050) ni maono ya Serikali yetu ya jinsi gani uchumi wetu utakua katika kila sekta kwa miaka 25 ijayo. Wadau mbali mbali katika jamii, walishiriki katika kutoa maoni yao.
Swali ni je, Vijana tumejipanga vipi kutekeleza dira hii?. Je tunaijua?
19
Leo katika kumbukumbu.
Ni mwaka 2020, Dr Mwinyi akiwa anaahidi wafanyabiashara wa soko la Mwanakwerekwe ya kuwa atajenga soko jipya na kuboresha mazingira ya biashara Kwa Wafanyabiashara na kuwaondoa katika mfumo genge waliokuwa wakiutumia hapo awali.
#leoyametimia
#Drmwinyi
1
13
Mwandishi nguli wa Vitabu lukuki kutoka Nchini Kenya amepumzika milele. Tutamkumbuka kwa jinsi alivyotumia elimu yake kufunua lubu za wasomi wengi ndani na nje ya Afrika Mashariki. Mimi nitamkumbuka Kwa jinsi uandishi wa kitabu chake cha "weep not,child" ulivyo na maudhui mazuri.
28
LEO KATIKA DIPLOMASIA.
Inasemekana kuwa, bendera ya Saudi Arabia, haijawahi kupepea nusu mlingoti. Hata ikitokea kifo cha kiongozi mkubwa wa nchi hio. Hii ni kutokana na itikadi za dini ya kuwa bendera hio ina jina la Mungu. Mungu ambae, hakuna alie juu zaidi yake.
14
"Ishi na vachu vizuri, damu si ndhicho tena."
Haya ni baadhi ya maneno yaliotumiwa na mwana mashairi maarufu nchini Kenya, Brother Nassir,(Blue Simba) Ametumia lugha ya Kiswahili, lahaja ya Lamu. Mashairi yamezingatia vina na urari katika beti zote. Limejaa tamathali za semi.
130
Uhusiano wa Tanzania🇹🇿 na Guinea Bissau 🇬🇼 . Dr Samia Suluhu amempokea Rais wa nchi hio, Mheshimiwa Umaro Mokhtar Sissoco Embaló. Guinea Bissau inasemekana kuwa ni miongoni mwa wauzaji wakubwa wa Korosho, Njugu Nyasa na Samaki duniani. Je mkutano huu una mikakati gani?
2
31
LEO KATIKA DIPLOMASIA
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amepata tuzo mbali mbali ikiwemo ya Africa Road Builders – Babacar Ndiaye Trophy 2022. Hii ni kwa sababu,amekuwa akitenga wastani wa Shilingi bilioni 850 kila mwaka kwa ajili ya kugharamia matengenezo ya barabara hapa nchini.
26
A rare photo of the grandmother of Sultan Qaboos bin Said. Fatima bint Ali Salem Thuwaini Al Busaidi. First wife of Sultan Taimur bin Faisal, mother of Sultan Said bin Taimur, and the grandmother of Sultan Qaboos. Born in the Sultanate of Zanzibar in 1891 and died in 1967.
1
108
"Ma cherie cherie
Mu ungiye baridi weni komeya
Mi uka makini
Matso yangu ye hu ona hu fumbariya
Zidisha ye zana
Bawe huni lisi yilikiki kazana
Kama mapenzi pili pileey
Lako laniwasha in a good way
Nishakupa moyo na mwileey
Uwe wako uchukue"....
Dadiposlim Comorés
Dua na salamu zote ziende kwa wananchi wa Namibia baada ya kifo cha Rais wao Hage Geingob. Makamu wa Rais wa Namibia ameapishwa kushika nafasi hio hadi pale utakapofanyika uchaguzi mwakani. Ikumbukwe ,Rais huyo alikuwa na mchango mkubwa katika upatikanaji wa Uhuru wa nchi hiyo.
1
25
Happy new year my fellow citizens 🇹🇿
This year was very fruitful under the leadership of @SuluhuSamia . Let's keep supporting Mama.
I love you Tanzania.
38
Maisha ni mafupi Sana. Imagine makadirio ya kuishi kwa waTanzania kwa mujibu wa Benki ya Dunia ni miaka 66.41. Hivyo hakikisha unakula vizuri, usikasirike ovyo, epuka migogoro, usilazimishe mambo, fanya kazi kwa kiasi, tumia akili zaidi ya nguvu.
Fanya unachokipenda.
Furahia!!!
1
1
45
Unaweza kuumithilisha au kudhani huu uwanja na ule wa Al-bayt au Al-Janoub uliopigwa kabumbu na mastaa wa Ulaya pale Qatar katika kombe la dunia. Ila huu ni uwanja wa Amani. Unapatikana Zanzibar. Na umejengwa na @DrHmwinyi
33
Rosalyn Carter. Mke wa Rais wa 39 wa Marekani Jimmy Carter amefariki dunia. Hii ni baada ya kuwa katika uangalizi wa madaktari katika dakika zake za mwisho za maisha yeye na mumewe . Mwanamke huyu atakumbukwa Sana Kwa harakati zake za kupinga ubaguzi wa watu weusi Marekani.
25
Sala na maombi ya Wamarekani wengi yapo kwa familia ya Rais wa 39 wa Taifa hilo. Inasemekana wawili hawa (Jimmy Carter na mkewe) wapo katika dakika zao za mwisho za maisha ,nyumbani kwao Georgia chini ya uangalizi wa madaktari. Jimmy Carter anasifika Sana Kwa kupigana na ubaguzi.
31
Ni jambo la kufurahia kuona Mhe Rais wa Zanzibar akifurahia goli la ushindi wa timu hio ya Taifa. Hakika Dr Hussein Ali Hassan Mwinyi ni mwana michezo wa kupigiwa mfano. Hongera Zanzibar, Hongera @DrHmwinyi kwa uongozi uliotukuka.
108
India ni fursa. Ushirikiano baina ya nchi hizi mbili ni neema ya kutosha. India ni miongoni mwa mataifa makubwa na rasilimali za kutosha. Pia ni nchi yenye idadi kubwa ya watu. Ni soko kubwa kwa bidhaa zetu.
18
















