There is no known medical condition resulting from not eating dietary carbohydrates.
The same can not be said for proteins and fats.
1
4
150
Baba Lishe retweeted
Kula mlo wenye virutubishi vingi, vya aina mbalimbali na kula mlo wenye virutubishi sawia (balanced meal) ni vitu viwili tofauti.
Kinachowezekana kwa uhalisia na urahisi ni kula mlo wenye virutubishi vingi na vya aina mbalimbali.
#LisheBora
#BabaLishe

Jitahidi uweze kuchagua vyakula vya aina mbalimbali kila siku.
Ukiweza jitahidi kutofautisha aina za vyakula kati ya mlo mmoja na mwingine. Kila siku/wiki.
Hii itakusaidia kupata virutubishi vya aina mbalimbali vinavyohitajika mwilini.
#Lishebora
#BabaLishe
28
Jiulize kwa nini waliziita energy drinks?
Unazani mwili ukihitaji nguvu/nishati kwa ajili ya shughuli mbalimbali, unaenda tumboni au kwenye maeneo ambayo wenyewe hufanya hifadhi yake ya nguvu/nishati ambayo ni misuli, Ini na tishu za mafuta?
Au na wewe unaamini Energy drinks huongeza nguvu/nishati mwilini?
35
Baba Lishe retweeted
Kila unachokula unaweza ukawa unajenga mwili thabiti au unauharibu.
Chagua kwa makini.
Mwenyezi Mungu azilaze mahali pema peponi roho za wote waliotangulia mbele ya haki. Amina. 🕯🕯🕯🕯
#Hatutasahau
48
Baba Lishe retweeted
Umeshawai kutumia samli yoyote? Ya kiwandani au ya kutengeneza nyumbani?
Je, unajua faida au hasara zozote kuhusu kutumia mafuta kama haya kupika?
Na wewe unaamini maziwa ya Ng'ombe pamoja na yale ya wanyama ambao maziwa yao hutumika kama chakula yanapaswa kuchemshwa kwa muda mrefu?
Je, wewe huandaa vipi maziwa ya wanyama kwa ajili ya kunywa?
#BabaLishe
Kwa hiyo na wewe unaamini nyama nyekundu ina madhara kiafya?
#BabaLishe – at Iringa, Tanzania
Kufunga ni namna yakuruhusu mwili kufanya marekebisho ya mifumo yake, hasa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Cha msingi ni kujua kanuni bora za kufunga kama vile nini chakula ukiwa umefunga na baada ya kufunga, muda wa kufunga n.k
#BabaLishe
Unazani mwili ukihitaji nguvu/nishati kwa ajili ya shughuli mbalimbali, unaenda tumboni au kwenye maeneo ambayo wenyewe hufanya hifadhi yake ya nguvu/nishati ambayo ni misuli, Ini na tishu za mafuta?
Au na wewe unaamini Energy drinks huongeza nguvu/nishati mwilini?
Matatizo yanayosababishwa na ulaji wa hovyo hayawezi kutatuliwa kwa kushinda jimu.
Rekebisha unachokula.
#TheGut
Watu wengi hatujielewi
Maana yake nini?
Hatuelewi mwili unaongozwa na kanuni zake za asili. Unajua unahitaji nini, muda gani na kwa kiwango gani.
Unachohitaji kuelewa ni kanuni zake kama ilivyo katika somo la hisabati.
Watu wengi wanateseka kwa sababu hawajui kanuni hizi.
Swali kwa wataalamu wetu,
Hivi haiwezekani kabisa mtu mwenye matatizo ya presha ya damu au kisukari kuishi bila kutegemea madawa na akapona magonjwa hayo kabisa? – at Iringa, Tanzania
Ukielewa jinsi ambavyo mwili wa binadamu unavyofanya kazi, utaelewa nini ule na nini usile
Jukumu ni lako kuelewa namna mwili wako unavyofanya kazi.
#Elewa
5
116
Your general health goes down to what you do and do not eat.
#ChooseWisely
2
73