Mzazi wa huyu mtoto utamwambia suala la maridhiano akuelewe?
Kupoteza mtoto wako kwa kifo kisicho cha kawaida ni maumivu yasiosahaulika馃槶
Inna lillahi Wainna ilaihy raji'un
Hao unawaona kwenye clip hii wote ni wanawake ambao ni watanzania. Huyo anaepika ni Mpemba anaitwa Fatma na huyo mwingine anaitwa Malkiz Mtanzania bara.
Wanawake hao wawili wanaishi ughaibuni ambao wanaishi kama wachumba.
Kuna habari ya msiba diwani wa CCM Same imepostiwa na East Africa TV pale facebook, wananchi wamedhihaki kifo kile mpaka nimejiskia vibaya馃槩
Hapa ndipo nchi yetu ilipofika
Fanya hivi kwa interest ya upinzani labda ujinasibishe na Uchadema kama mwezi utaisha bado unatamba mtaani.




