Writer | Podicaster | 21 y.o. RichKid Digital Creator | Author | Life lessons daily. Think better. Live better | My Resources→https://xitter.cf/t.co/gekqvVYVT9 | #ElimuBure

Follow WhatsApp Channel Yangu↓
Joined January 2022
MWANAHISABATI retweeted
23
1
201
2,123
MWANAHISABATI retweeted
Nakumbuka Kabla Ya Kifo Chake Kuna Siku Aliniangalia Usoni Kisha Akasema... THREAD🧵
1
2
14
1,656
MWANAHISABATI retweeted
HIKI NI KITU CHA AJABU SANA KINACHOTOKEA NDANI YA AKILI YAKO BILA WEWE KUJUA… MIND GAME CONTROL. A THREAD:
1
8
14
821
MWANAHISABATI retweeted
KUNA UJUZI MMOJA KIJANA WA MIAKA 20–30 AKIUELEWA, WATU WENGI HAWATAWEZA KUMCHEZEA AKILI TENA. MIND GAME CONTROL. A THREAD:
1
14
84
11,657
MWANAHISABATI retweeted
Wenda wazazi wako hawakukwambia hili au walichelewa kukuambia... Lakini kuna mambo 11 kuhusu maisha ambayo ungejua mapema yangebadilisha namna unavyoishi leo. Thread/Uzi🧵
2
9
17
1,733
MWANAHISABATI retweeted
Wakati mwengine jifunze kuficha hisia zako kwa sababu si kila mtu anajali maumivu unayopitia.
2
10
1
55
754
MWANAHISABATI retweeted
Na kama hatutazungumza tena, kumbuka tu kwamba nilikupenda kwa dhati.
4
9
2
43
1,954
MWANAHISABATI retweeted
Kama kijana wa miaka 20–35… Haya ni mambo muhimu sana unayotakiwa kuyazingatia kwenye maisha yako kama hutaki kuja kujuta miaka 10 ijayo. 🧵⤵️
3
11
28
2,193
MWANAHISABATI retweeted
Kipindi changu kigumu katika maisha kilinifundisha jambo moja kuwa: Mwisho wa siku hakuna atakayekuja kukuokoa isipokuwa wewe mwenyewe.
4
25
137
2,935
MWANAHISABATI retweeted
Sote tuna makosa tunayoyachagua tunajisamehe kwa yale tunayoyazoea alafu tunawahukumu wengine kwa yale ambayo sisi hatuwezi kuyakubali.
2
6
22
727
MWANAHISABATI retweeted
Kama kijana wa miaka 20 – 35... Maisha yameshakufundisha nini mpaka sasa?
7
4
28
1,729
MWANAHISABATI retweeted
Vijana wa miaka 20-35 maisha mnayaonaje?
63
21
11
339
27,921
MWANAHISABATI retweeted
Haya Ni Makosa Unayotakiwa Kuyakwepa Ukiwa Bado Unajitafuta:🧵
2
14
87
8,347
MWANAHISABATI retweeted
Siku moja nilikutana na jamaa mmoja, tulikaa naye kwenye kijiwe kama kawaida. Hakuwa na talent ya ajabu, hakuwa genius sana wala hakuwa mtu wa kuonekana ana bahati sana. Lakini kuna kitu kilikuwa kinamtofautisha na wengine... Kila siku alikuwa anabadilika kidogo. Sio kwa kelele. Sio kwa show off. Kimya kimya tu. Asubuhi anaanza na kitu cha kujifunza. Akiwa anatembea masikioni kuna audiobook. Akiwa anasubiri foleni simu yake haipo Instagram ipo kwenye article au blog. Usiku kabla hajalala anaandika notes zake anajichambua. Nilimuuliza siku moja: “Bro, unafanyaje ukae consistent hivi?” Akanitazama akacheka kidogo, akasema: “Watu wanataka kuwa ‘professional’, lakini hawataki kuishi kama professionals.” Hapo ndipo ilinipiga... Watu wengi wanaangalia matokeo, wanataka kuwa bora, wanataka kuheshimiwa, wanataka pesa, wanataka level. Lakini hawataki ile kazi ya chini ya pazia. Hawataki ile life ya: – Kusikiliza kitu cha maana badala ya kupoteza muda – Kusoma hata kama hakuna mtu anawaona – Kuandika na kufikiri kwa kina kuhusu maisha yao – Kujifunza bila kuchoka Ukweli ni huu: Professionalism sio kipaji. Ni mfumo wa maisha. Ni vile unavyoishi kila siku, kuanzia unapoamka mpaka unapoenda kulala. Kama siku zako hazina input, usitarajie maisha yako yatatoa output ya maana. Huwezi kujaza ndoo ikiwa huna unachomwaga ndani. Na watu wengi wanakosea hapa: Wanataka mafanikio makubwa kwa juhudi ndogo. Haiwezekani. Kama unataka kubadilika kweli, anza na hili: Usiruhusu siku ipite bila kujiongezea kitu kichwani. Sio lazima iwe kubwa. Hata: – Dakika 20 za podcast – Kurasa chache za kitabu – Idea moja mpya uliyoiandika Inatosha. Kwa sababu ukifanya hivi kila siku? Ndani ya miezi 6… hutakuwa yule yule. Ndani ya mwaka 1… watu wataanza kuuliza umefanyaje. Na ukweli ni huu: Hutakuwa umefanya kitu kikubwa cha kushangaza. Umefanya vitu vidogo kwa muendelezo wa kila siku… lakini kwa consistency ambayo watu wengi hawana. Hapo ndipo professionalism inaanzia. Sio tukio la siku moja. Ni tabia za kila siku. - MWANAHISABATI Arthur Geil
4
16
1
42
3,304
MWANAHISABATI retweeted
Hii Ndiyo Mbinu Niliyotumia Kushinda Depression na Overthinking:🧵
2
6
31
1,482
MWANAHISABATI retweeted
Fear Women 😱 #Theard 😂😂😂
21
18
117
18,088
MWANAHISABATI retweeted
HAYA NDIYO MAMBO YANAYOUA NDOTO ZAKO KIMYAKIMYA KILA SIKU: 🧵
1
4
22
2,048
MWANAHISABATI retweeted
Kabla ya kuanza kutamani mafanikio ya watu wengine anza kwanza kufuatilia mchakato wao. Fuatilia walikotoka. Fuatilia walichopitia. Fuatilia mara ngapi walishindwa. Fuatilia walicholazimika kuacha ili wafike hapo walipo. Kila mafanikio yana historia ambayo watu wengi hawaioni.
8
46
1,034
MWANAHISABATI retweeted
Hii ilinichukua zaidi ya myezi 9 kujifunza ila nitakufundisha wewe baada ya dakika 3 tu. 🧵
1
2
14
579
MWANAHISABATI retweeted
Kuna uhalisia wa maisha ambao hakuna anayetuambia mapema. Unajua ukiwa kijana wa miaka 20 mpaka 30 hasa kama umetoka chuo au bado unajitafuta mtaani... Maisha hua yanakuaga kama vile ni maabara ya majaribio. Huu ndio ukweli ambao hakuna anayekuambia. A thread:🧵
3
5
33
2,490