Araf Sykes retweeted
Read this book my African people, if you don’t have it jst tell me and I will share it to you… see if after reading you will still be a proud African Christian!
Araf Sykes retweeted
Nipo kwenye kutafuta watoto ambao wazazi wao hawana uwezo kuwalipia shule. Lakini pia kina mama ambao wanahitaji uwezeshwaji ili waweze kufanya kazi walee familia zao. Namaanisha wale wa kipato cha chini kabisa ambao hawana hata elfu moja ya kuwasogeza.
Araf Sykes retweeted
Mpendwa Mteja,
#iSP inakutakia maadhimisho mema ya miaka 59 ya mapinduzi ya Zanzibar yenye amani, umoja na mshikamano. Matawi yetu yatafungwa siku ya Alhamisi tarehe 12 Januari 2023 na kufunguliwa Ijumaa tarehe 13 Januari 2023 kuanzia saa 2:30 asubuhi.


















