Nilidhani mambo itakua mwecheche being my last semester within the university lakini siamini, mara ya mwisho kuona thao ilikua 22nd September, DMs nko najiongelesha, masomo imekua ngumu zaidi, hii miezi mbili wacha nifikirie maisha yangu nianze afresh Januari
Mmoja after doing my History paper alinipea yake nikamfanyia yote kidogo tushikue juu ya skill issue on his side, sikuizi anaroll mara CS mara governor, MP lakini hanikumbuki kabisaa 😂
KCSE nilikua very disadvantaged mimi ndo nilikua naanza sitting arrangement kwa mlango making it hard for me during formations, being an average student targeting an above average grade hiyo haikua shida sana shida ni eti my 3 neighbours walikua madwanzi ajab wananitegemea mimi
Na huyo mzee makosa kubwa utafanya ni kumwambia almost 3/4 of the class got E
One of the many Random Assesment Exams huko Kapsabet 2022 kuna time nilipiga Physics E my old man travelled from Naivasha kuja kuona kwani nimekua mjinga kiasi gani akaniambia akipewa hiyo mtihani saa hiyo atanishinda,that man has tried his best for us to get the best education
'msupa wangu' na 'klabu' should not exist in the same statement.She literary turned him down to boost your dying esteem alafu wapange ground in your absence!
Sikuizi hakuna kitu kama marketable course, hata majamaa wa medicine and surgery after internship mambo inachemka wako tu huku TL active 24/7,,, unemployment levels in Kenya in 10 years to come will be one for the books
Gabon's Omar Bongo and son Ali ruled for over 56 years till 2023 coup, Cameroon's 93 years Paul Biya is on his 44th yr as president and he lives in Switzerland, Museveni is on his 40th yr as president,Kagame is a benevolent dictator, look at Nigeria and Guinea,etc










