Alibeda6 retweeted
Zamani Twita ilikuwa kama sehemu ya watu wenye akili za kutosha na ujuzi wa mambo. Siku hizi ina watu wa aina zote🙌🏾
Katika kitaaolojia ya @FidQ Kuna mengi nimejifunza sana kuhusu Dunia hii na viumbe vyake
Hakika Vipande 26 vya keki ni vitamu sana hadi imepelekea binti wangu kuanza kuvila kwa faida ya maisha yake ya kesho @masoudkipanya
1
42
Wachambuzi wa bongo leo aibu kwenu @AliKamwe @mzeewakaliua punguzeni roho za chuki dhidi ya @SimbaSCTanzania
1
1
Alibeda6 retweeted
Wakati SIMBA anakwenda Kutwaa Ubingwa wa Shirikisho Afrika, Yanga anaendelea kutetema na Mayele!
Alibeda6 retweeted
Yanga leo wamepiga Pasi 990. Pasi 25 zilikwenda mbele, pasi 965 zimerudi nyuma! PIRA BIRIANI
Alibeda6 retweeted
Upumbavu wa hali ya juu..Timu inapotoka nje ya nchi inawakilisha nchi(kama kuna changamoto tunatakiwa tuitatue kama nchi)...ila hela ya kukimbiza mwenge tunayo
Acha nijifariji na Tajiri yangu ya mfariji wangu wa ukweli @FidQ hakika kipindi machinga tupo nje ya reli, ngoma kama hii #TajiriYangu ni faraja tosha.
Alibeda6 retweeted
Hapa ukiwekewa Miquessone, pale ukiwekewa Feisal, mchezaji Bora anakuwa ni FEITOTO!! My footy!!!
Kill yourself by @NikkiMbishi @King_Zillah ni moja kati ya ngoma inayo paswa kupata 5 stars kabisa producer wa ngoma hii daah! Kaupiga mwingi sana, @cliffmitindo ufundi kama wote level za @10Ronaldinho










