Kanyambo_ retweeted
kuna vita kali sana ipo mtaani kati ya wasomi na raia ambao sio wasomi ila wametoboa, Sijui kama kuna mtu ashawahi kuona hili Yani mshikaji anaweza kukunyima mchongo kisa wew ni msomi au umemzidi
Elimu alafu poa tu.!!
Kanyambo_ retweeted
Wazee kifo kipo nje nje, jitaid kuwa na mtu anayefaham vitu vyako bas kam hauna, awepo anayefahamu ndugu zako. Cycle ni muhim wakuu
Kanyambo_ retweeted
Ukipata Muda Wa Kuomba Ombea First Born Wa Jinsi ya Kiume. Nahis Hata Hawa Single Maza Uende Walikutana Na Hawa First Born Kwenye harakati za Mahusiano
Kanyambo_ retweeted
Kama bado mna nafasi ya kurekebisha mambo zungumzeni usikubali hasira ya dakika moja iharibu upendo uliojengwa kwa miaka mingi
Good morning my tl familyβ€οΈ
Kanyambo_ retweeted
Msije sema hatuwapi michongo kuna frame hapa naona zinajengwa Mabibo Mwembeni kuelekea zahanati ya Mabibo unaweza kwenda kuwacheki wahusika.
Kanyambo_ retweeted
Kitu ambacho nimekishindwa siku hizi basi ni kunywa chai asubuhi, kwa upande wako ipoje?π€
Kanyambo_ retweeted
Katherine Jackson holding her daughter Janet, with her son Michael seated beside them.
π· 1966




























