Absalut Charles🇹🇿 retweeted
Forget tactics kwanza , angalia application ya wachezaji wa Arsenal on and off the ball tena baada ya kuruhusu goli .
✍🏻Sharp
✍🏻Quicker
✍🏻Aggressive
✍🏻Rotations ( wanampa options za kutosha mchezaji ambaye ana mpira
✍🏻Utekelezaji wa vitendo vya kiufundi
Then tactically sasa , walijua dhidi ya back 3 ambayo inakuwa back 5 kuna sehemu nyingi spaces unapata
1: Mbele ya wingbacks
2: Either side ya viungo wawili wa kati
3: Either side ya namba 10 wawili nyuma ya Pedro
Ndio maana ukiondoa Raya , Konsa na Big Gaby wachezaji wengine wote waliobaki walikuwa na uhuru wa ku rotate around , pick up positions ambazo zipo wazi ( lakini bila kuharibu A) Compactness , B) Rest defense )
At times leo Arsenal walicheza soka safi aisee
CHELSEA ? Nilisema mechi zao za kwanza kwamba ule utatu wa juu unawapa nafasi ya kupata chochote kitu kwenye mechi hasa kwenye transitions , they are good lakini sasa shida yao kuu bila mpira wapo “ PASSIVE ” sana nikimaanisha
1: Slow kufika kwenye matukio ya mpira
2: Kuna muda wanakuwa chini sana kiasi kwamba mpinzani ana muda na nafasi ya kutosha takribani mita 40 za mwisho
3: Wakiamua ku press wanakuwa narrow sana maana yake opposition FBs wanakuwa huru .
4: Wingbacks wao wapo reactive defensively badala ya kuanza juu mapema . ( easy kufika kwao )
MWISHO nime enjoy football . A very good football match kiukweli
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
Usinge mjibu bro, muda mwingine watu wa hovyo tuwaache wajiimarishe katika uhovyo wao ili waje kujifunza kwa gharama siku za mbeleni maisha yafanye natural selection ya kutenga wajinga mbali na wenye akili.
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
🚨🔴⚪️ Arsenal set for new club to club contacts next week for Bruno Guimarães deal.
Personal terms in place and new approach with Newcastle anticipated to proceed + £70m proposal expected to be improved.
Deal depends on #NUFC decision on exit/price.
🎥 youtu.be/JugFr-xgQHg?si=uAr3…
VIDEO:
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameeleza kuwa anatamani kumtambua mwanaharakati yeyote kwa uwezo wake wa kufikiri na kushawishi akisisitiza kuwa anatamani pia kujenga taifa ambalo watu wenye mitazamo tofauti wanaweza kukaa pamoja na kuzungumza mambo ya nchi yao kwa amani, bila kuwepo kwa uhasama au uadui.
Dkt. Nchimbi ameeleza matamanio hayo akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo Julai 24, 2026, Dkt. Nchimbi
Aidha, ametoa wito kwa kila Mtanzania kutumia nafasi aliyonayo kurudisha umoja na mshikamano, pamoja na kusimamia haki kama msingi wa amani.
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
🚨 Arsenal reach agreement with Club Brugge to sign Christos Tzolis. Deal for 24yo left winger done at €40m asking price set by #ClubBrugge. Move in process of being finalised - Greece international wanted & prioritised #AFC move throughout @TheAthleticFC nytimes.com/athletic/7356694…
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
Today, Tanzania and the United States signed a $3.15 billion, five-year bilateral Health Cooperation Memorandum of Understanding through the Trump Administration’s America First Global Health Strategy. Read more here: tz.usembassy.gov/united-stat…
#USTanzania #AfyayaTZ #HealthSecurity
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
Leo, Tanzania na Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta ya Afya yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 3.15 kwa kipindi cha miaka mitano, kupitia Mkakati wa Afya wa Kimataifa wa America First wa Utawala wa Rais Trump.
Soma taarifa kamili hapa: tz.usembassy.gov/sw/marekani…
#USTanzania #AfyayaTZ #HealthSecurity
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
Fainali ya UEFA inapigiwa ndani ya uwanja huu uliopewa jina la legend wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hungary yaani Ferenc Puskás. Unabeba watu 68,000, ndani una makumbusho, bar, hotel, supermarkets, mahala wanapoketi viongozi wa juu nakadhalika. Kila la heri kwa Arsenal.
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
Kombo says Tz government will try to finance US Senators trip to Tanzania. This people are evil
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
THE BEST TEAM IN THE LAND .!
Worthy Champions , 100% .!
Ni vile tu chuki na mautani yetu but wamekuwa wanapiga hodi kwa miaka kama mitatu , ishara ilikuwepo pale , it was coming na hatimaye imefika .
CONGRATULATIONS ARSENAL @Arsenal
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
MIKEL ARTETA BROUGHT US BACK TO WHERE WE BELONG.
NUMBER ONE. ARSENAL ARE NUMBER ONE.
🤖 Made with AI
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
❤️🤍 OFFICIAL: ARSENAL WIN THE PREMIER LEAGUE 2025/26!
Historical achievement for Mikel Arteta and his team after 22 YEARS. 🏆✨
🤖 Made with AI
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Makamu wa Rais wa Dangote Group anayeshughulikia Mafuta na Gesi Bw. Edwin Devakumar pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Gilead Teri, , Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Absalut Charles🇹🇿 retweeted
Hansi Flick’s father has passed away today. Thoughts are with Hansi and with the family.
Rest in peace. 🕊️




























