Founded in 1994, Amani People's Theatre employs an interactive multi-arts approach to peace building and conflict transformation training.

Nairobi, Kenya
Joined July 2014
A Social Accountability Forum in Kwale County; Day One opened with a dedicated youth engagement session, creating space for young people to participate, share their concerns, and speak openly on the issues shaping their communities. #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #aptkenya
19
Day 2 convened community members and local leaders for a Social Accountability Forum, opening direct dialogue between citizens and duty bearers including; Area Security Chairperson, Local Chief, Ward Administrator, an Area MP representative, and a Women Representative aspirant.
20
CHOZI Season 2 Episode 11: Dunia ni duara; Mtego wa chuki unaanza kuwatafuna wale walioujenga. Usikose kufuatilia kipindi hiki cha mwisho ili uone haki ikitendeka katika namna isiyotarajiwa! #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
1
27
CHOZI Season 2 Episode 10: Gavana anapata funzo zito kuhusu matokeo ya uongozi wake. Je, Gavana yuko tayari kubadili mfumo na kuwaokoa vijana, au huu ni mwanzo tu wa anguko lake? #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
1
29
CHOZI Season 2 Episode 9: Maandamano ya amani yanageuka kuwa uwanja wa vita. Je, Gavana ataweza kuwapa hifadhi waandamanaji, au wote wataangamia kwenye mtego wa maadui zao? #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
1
31
CHOZI Season 2 Episode 8 Nafasi kubwa imetolewa, lakini je, Swaleh ataiitumia kuleta mabadiliko au atamezwa na mfumo wa kisiasa? #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
1
24
CHOZI Season 2 Ep7: Haki ikichelewa, hasira huchukua usukani! Je, Kichuna atachagua kulipiza kisasi kwa njia ya sheria, au atapambana kwa kufuata mkumbo wa ghadhabu? #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
1
30
CHOZI Season 2 Ep6: Usaliti na njama za siri mitaani; Swaleh amezungukwa na maadui wasioonekana! Je, atachagua kusikiliza sauti ya dhamiri ya mkewe au atamezwa na mtego uliotegwa na Santana na Rumba?#sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
1
41
CHOZI Season 2 Ep5: Kichuna anakabiliwa na chaguo gumu zaidi la maisha yake, huku imani za baba yake zikigongana na hitaji lake la kujiponya. Je, atatii sheria za familia au atafuata moyo wake? #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
1
71
CHOZI Season 2 Episode 4: Kisasi kinanuka hospitalini! Baada ya Kichuna kuvunjwa utu wake na watesi wake, Swaleh ameahidi kulipa kisasi! Je, hatua yake italeta haki au itawaangamiza wote? #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
1
47
CHOZI Season 2 Episode 3: Wakati wazazi wakigombana, hatari ilimnyemelea Kichuna gizani! Ameibuka na majeraha mazito yanayovunja amani ya nyumba yao. Nani anawajibika kwa maumivu haya? #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
2
44
CHOZI Season 2 Episode 2: Wakati Bi Mateso akilia kwa maumivu ya maovu, maovu yanazidi kutanda kupitia Rumba anayepanga njama mpya hatari itakayotikisa kijiji. Je, mipango yataishia wapi? #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
1
22
CHOZI Season 2 Episode 1: Swaleh is being pushed to the edge; doubt from the Gavana and a dark new alliance is seeding in the shadows to destroy him and the Gavana. Will he survive the betrayal? #sautiyavijanawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma #choziseason2
2
39
Tune in to Amani People's Theatre Radio Drama Production, Chozi (Tears) Season Two #Sautiyavijannawasanaanaamanimtaani #amanipeoplestheatre #radiorahma91.5fm
1
34
A celebration, a remembering, a call to action. Join us as we explore the stories held in our soil, the songs carried by our ancestors, and the shared vision we plant for a just future. Kenya National Theatre 22nd–23rd November Entry: FREE #RhythmsOfTheLand #FairPlayFestivalNrb
1
81
From 2–4 Sept, Amani People’s Theatre joined the @giz_germany CPS SGM in Nairobi to explore Mapping Risks & Co-Creating Responses ahead of 2027. We shared how participatory theatre turns stories into dialogue and empowers youth as agents of peace in their own communities. #SGM25
1
58
SEASON FINALE Episode 11: Betrayal in the Office Swaleh stands cornered. Rumba’s rage boils over. This is the endgame. Who survives betrayal? 👀 #SeasonFinale #BetrayalInTheOffice #Episode11 #CHOZI #SAUTIProject #APT
1
47