Kuna Beki tatu tuliwahi kukaa nae home yule Beki tatu alikuwa mzr bhn.Picha linaanza tu ni Mtu wa manyara.
Kuna siku nilimtongoza alf akagoma nikasubiri siku mshua na mama hawapo ikabidi niforce nipewe.Kwenye harakat za kuforce akaropoka na kusema mm mama yako mdogo.
JERRY retweeted
Hivi hakuna njia ambayo naweza nikawa nipo Online, Halafu mtu akani’text GreenApp ila itamuonesha tick moja?? Hadi pale nitakapo jibu mimi ndo’ imuoneshe Bluetick.
JERRY retweeted
Sarafina baada ya kutoka Gerezani na wenzake baada ya MATESO makali alijuliza maswali mawili.
1. Walitukamata na kututesa tuwe kama wao?
2. Walitukamata na kututesa ilituwaogope?
Baada ya hapo miezi 18 MANDELA akaachiwa huru na UKOMBOZI ukapatikana.
Vijana hawakunyamaza kabisa, licha ya mateso yote waliyopitishwa na MAKABURU.
MAKABURU WETU LEO NI WAKOLONI WEUSI.
Wanatuteka na kututesa kila siku bado mapambano yanaendelea. Tunaamini ushindi upo karibu UNAKUJA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
JERRY retweeted
#MICHEZO: Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeshuka kwa nafasi 3 katika viwango vya ubora vya mchezo wa soka Duniani kutoka nafasi ya 112 hadi 115, Hii ni kwa mujibu wa viwango vilivyotoka leo Oktoba 07, 2026.
Majirani zetu Kenya wapo nafasi ya 114, Uganda wakiwa nafasi ya 86, Burundi nafasi ya 140 na Rwanda nafasi ya 119 wakipanda kwa nafasi 9.
Kwa ujumla Duniani Uhispania ipo nafasi ya 1, Argentina nafasi ya 2, Ufaransa nafasi ya 3, Uingereza nafasi ya 4 na Ureno nafasi ya 5.
Unahisi kitu gani kinachoishusha zaidi Taifa Stars kwenye viwango vya FIFA?
✍: @nickymeena_
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
JERRY retweeted
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Paul Christian Makonda amefunguka kuhusu baadhi ya watu kupinga au kukerwa na wazo lake la kujenga msikiti mkubwa wa kimataifa jijini Arusha
Makonda amesema kila mtu ana haki ya kuwa na wazo na kulifanyia kazi kwa namna anavyoamini, akisisitiza kuwa wazo lake la kujenga msikiti huo linatokana na dhamira yake ya kufanya jambo kwa ajili ya jamii ya Kiislamu.
“Kila mtu afanye ambacho Mungu amemfunulia. La kwangu ninahangaika kulishambulia, la kwako ni lipi?”
VIDEO:
Familia ya marehemu Jane Urassa ikiuaga mwili wa mpendwa wao, katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Baada ya familia, ndugu, jamaa na marafiki kutoa heshima zao za mwisho, mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa kuelekea Machame, mkoani Kilimanjaro, kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho, Oktoba 9, 2026.
JERRY retweeted
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema Uwanja wa Uhuru hautatumika kwa mazoezi ya Simba wala Yanga kuelekea mchezo wa Dabi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 10, 2026.
Katika taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 7, 2026, Wizara imesema hatua hiyo inalenga kuzingatia kanuni na taratibu zilizowekwa na Bodi ya Ligi kuhusu matumizi ya viwanja vya mashindano, hususan masuala yanayohusu mazoezi ya timu.
Wizara imesisitiza kuwa hakuna timu yoyote kati ya Simba na Yanga itakayoruhusiwa kutumia Uwanja wa Uhuru kwa mazoezi kabla ya mchezo huo, kwa kuzingatia matakwa ya kanuni za mashindano ya Ligi.
Aidha, Wizara imewataka wadau, Mashabiki wa Simba na Yanga pamoja na Watanzania kwa ujumla kuzingatia utulivu, amani na taratibu zilizowekwa kuelekea mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu.
#MillardAyoUPDATES
JERRY retweeted
Mabinti waliozaliwa 2008 sahivi wana miaka 18 Eeh mwenyezi Mungu wahurumie hawa wabibi wa 2001 mpaka 2004.🙌🏼🙌🏼🙌🏼
JERRY retweeted
Kwenye maafali dingi alikua ananikata jicho baya sana yani vyeti vyote almost 30 plus vya michezo sijui na nn, sikuinuka hata kimoja 😅😅😅😅
JERRY retweeted
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekamilisha maandalizi ya kiusalama kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga, unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi, Oktoba 10, 2026, katika Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Oktoba 8, 2026, Jijini Dar es salaam, Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Faustine Mafwele amesema Jeshi hilo limejipanga kuhakikisha usalama unaimarishwa kabla, wakati na baada ya mchezo huo, ili Mashabiki waweze kuingia na kutoka uwanjani kwa usalama.
Mafwele amewataka Mashabiki wa timu hizo mbili kuheshimu sheria, kanuni za soka na taratibu za mikusanyiko, huku akisisitiza kuwa ushindani wa Simba na Yanga unapaswa kubaki ndani ya uwanja na si kusababisha vurugu, uchochezi au uharibifu wa mali.
#MillardAyoUPDATES
JERRY retweeted
Daah ile page na yenyewe wameisuspend aise hakuna tena kujifanyia tathmini binafsi.🙌🏼🙌🏼🙌🏼💔💔💔💔
Nikiwa na siku ya 5 Dar Es salaam Jiji La Lawama Nimeonana Na @jeju_julius Tumepiga story nyingi sana na tumecheka mno😂😂
Pia anapatikana Mwenge mkipata nafasi muende mkamchangie💪🏿🙌🙌
Nb: Uelekeo Sinza😁




























