Pinned Tweet
[UZI] ~~> Mambo machache kati ya mengi angalau kuzingatia kabla hujanunua hisa ktk kampuni yoyote.
1.Uimara wa kampuni husika katika kutengeneza faida kila mwaka,pata angalau uwiano wa miaka 5 ya nyuma kisha angalia hio faida ina mwelekeo wa kuongezeka au kupungua kila mwaka.
Remember:
Just because everyone is talking about an investment doesn't mean its automatically a good investment.
Follow Closely-> Learn First-> Invest Second..
Kaandika takataka ambayo kuzolewa kwake itachukua mwaka mzima!
Akasome kwanza tofauti ya "Passive Income vs Active Income".
Justine Limbe Jr retweeted
Replying to @16Limbe @MarekaMalili
Hawa watu sijui wanawaza nini.!
Misinformation
- Note No 4 - Ndio muhimu zaidi, Dividend TZS 610.15 per share.
*Dividend Yield of around 4.65% (at current share price of TZS 13,130/= per share) #MishaharaYaWanahisa. @NMBTanzania
Ndio maana "AFCON isn't a major tournament" kama asemavyo @Carra23
Justine Limbe Jr retweeted
Mafundisho: Sioni wapi Yesu alisema wapigwe risasi:
1. Love God
2. Love your neighbour as yourself
3. Forgive
4. Seek God's kingdom
5. Serve humbly
6. Repent and believe the Gospel
7. Be merciful.
8. Deny yourself
9. Pray consistently
10. Share the faith
Justine Limbe Jr retweeted
Mambo ninayaona katika roho yanatia hofu sana. Ombeni, ombeni. Narudia ombeni. Mengine siruhusiwi kuandika. Tunaweza kujuta miaka mingi ijayo.













