"Kuna tractor moja na lorry moja tu pale Gakoromone, hio ni mwaka gani itakamilika? Nimejaribu kuongea na CS (Eric) Mugaa ile sewage iondoke huko kabisa ndio tuweze kufanya, hakuna kitu imefanyika. So, North Imenti mimi sijui ni nini rais atakuja kulaunch."
Rahim Dawood - MP,