We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2020
Joan Wicken alikuwa jicho la Waingereza kwa Nyerere? Tazama mapitio ya kitabu cha 'Joan Wicken: A Lifelong Collaboration with Mwalimu Nyerere' >youtu.be/eqESS1SB5OU?si=qpHl…
1
3
7
664
Nini siri ushirika wa Julius Nyerere na msaidizi wake wa muda mrefu Joan Wicken? Tazama mapitio ya kitabu cha 'Joan Wicken: A Lifelong Collaboration with Mwalimu Nyerere' >youtu.be/eqESS1SB5OU?si=3X4m…
2
5
33
1,719
Nkrumah, Nyerere walikuwa na wasaidizi raia wa Uingereza. Ilikuaje? Tazama mapitio ya kitabu cha 'Joan Wicken: A Lifelong Collaboration with Mwalimu Nyerere' >youtu.be/eqESS1SB5OU?si=NPOS…
2
5
1
25
1,111
Nini kinawakwamisha vijana kujikita kwenye kilimo?
2
5
748
Mazungumzo na Balozi wa Haki za Binadamu wa Uingereza Katika mahojiano haya, Eleanor Sanders, Balozi wa Haki za Binadamu wa Uingereza, anaeleza sababu ya ziara yake Tanzania kabla ya Mapitio ya Kipindi ya Ulimwengu (UPR) ya Umoja wa Mataifa. Fuatilia zaidi>>>youtu.be/LMU1bJmKQGA?si=BkV0…
2
9
1
39
2,439
Mjasiriamali huyu kwa zaidi ya miaka 10 mkoani Kigoma amekuwa akijishughulisha na kilimo cha mabadiliko ya tabianchi kwa kupanda miti na kutoa elimu kwa jamii.
1
4
13
1,147
Mama awasihi ‘watekaji wa Landcruiser nyeupe’ kumrudisha mwanaye. Watekaji walivaa jezi za Simba: ‘Mrudisheni mwanangu, mpelekeni Mahakamani’ Mama wa Juma Kijazi (30), mfanyabiashara wa chips amewasihi watekaji waliomchukua mwanaye toka Oktoba 21, 2026, na kutokomea naye kumrudisha kijana wake, ambaye ndiye mtoto wake wa kwanza. "Toka tarehe 21 Oktoba mpaka leo, sijaweka hata maji mdomoni. Siwezi kujua mwanangu yupo kwenye hali gani: anakula, analala, au amekufa. Nyinyi wakina baba mliomchukua mwanangu, mrudisheni; mpelekeni hata polisi. Naombeni mnirudishie mwanangu, popote pale alipo. Mimi ndiye mama yake. Nawaombeni sana mnirudishie mwanangu," Mama huyo amewasihi watekaji. Watekaji hao ambao hawakujitambulisha walifika katika eneo lake la kazi Kinondoni Manyanya na kupaki gari lao Landcruiser nyeupe, baada ya muda walishuka na kumkamata kijana huyo akiwa anafanya usafi, pamoja na kijana mwingine waliyemuachia. Tukio hilo limeripotiwa Polisi na kusajiliwa kwa OYB|RB|7259|2026
19
76
10
196
26,230
Kwa mwaka 2025 shehena za nchi jirani zilizopita Bandari za Dar es Salaam na Tanga zilikua tani milioni 14.3 ikilinganishwa na tani milioni 9.2 mwaka 2024: 1. DRC - Tani milioni 7.2 2. Zambia - Tani milioni 3.5 3. Rwanda- Tani milioni 2.2 4. Malawi- Tani milioni 0.7 5. Burundi- Tani milioni 0.5 6. Uganda- Tani milioni 0.05 7. Nchi nyingine- Tani milioni 0.06
1
8
5
25
4,816
TMA yaendelea kutoa tahadhari juu ya mvua za El Nino zitakazoanza Novemba na Desemba mwaka huu.
2
5
799
Machinga Dodoma Inn waandamana wakipinga eneo walilo hamishiwa sio rafiki kwa biashara
5
20
1,186
Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Kwa kuangalia kipato cha mtu mmoja mmoja kwa mwaka 2025: 1. Simiyu - Milioni 1.74. 2. Kagera - Milioni 1.85 3. Singida - Milioni 1.99 4. Dodoma - Milioni 2.11 5. Pwani - Milioni 2.16 6. Tabora - Milioni 2.30 7. Kigoma - Milioni 2.30 8. Katavi - Milioni 2.46 9. Rukwa - Milioni 2.88 10. Songwe - Milioni 2.94
15
39
18
119
19,299
Daktari azungumzia madhara ya vinywaji vya shots kiafya
4
15
1,761