Kheri Tungaraza retweeted
Imekuwa fahari kwangu kualikwa na Kamisheni ya Uchumi ya Afrika kuwa mmoja ya wanajopo kwenye mjadala kuhusu โUzoefu wa vijana, ubunifu na mchango wa biashara zinazoendeshwa na vijana katika kufikia malengo ya Eneo Huru la Biashara la Afrikaโ
Umekuwa mkutano wenye mafunzo mengi kutoka kwa vijana makini wajasiriamali waliotokea pembe zote za bara la letu
Tumepata mwanya wa kujadili mambo kochokocho kama vipawa walibyonavyo vijana kwenye ubunifu, na umuhimu wa uhusiano wa ujasiriamali na ukuzaji wa uchumi katika kuliimarisha Eneo Huru la Biashara la Afrika.
Kheri Tungaraza retweeted
๐๐ ๐๐ถ๐บ๐ฒ๐, ๐ถ๐ ๐ฐ๐ฎ๐ป ๐ฏ๐ฒ ๐ผ๐ฏ๐๐ถ๐ผ๐๐ ๐๐ต๐ฒ๐ป ๐๐ผ๐บ๐ฒ๐ผ๐ป๐ฒ ๐ถ๐ ๐๐๐ฟ๐๐ด๐ด๐น๐ถ๐ป๐ด ๐๐ผ ๐ฐ๐ผ๐ฝ๐ฒ, ๐ฏ๐๐ ๐๐ผ๐บ๐ฒ๐๐ถ๐บ๐ฒ๐ ๐๐ต๐ฒ ๐๐ถ๐ด๐ป๐ ๐ฎ๐ฟ๐ฒ ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฑ๐ฒ๐ฟ ๐๐ผ ๐๐ฝ๐ผ๐.
Check in on those around you.
#WorldMentalHealthDay | #YouAreNotAlone | @samaritans
Kheri Tungaraza retweeted
Leo kwenye @ugalielimu tutakuwa na darasa la chakula Ndugu @chefkilekitchen , ungependa kushiriki session ijayo? #UgaliElimu kila jumamosi hapa @MalemboFarm HQ.
Attending a cancer Summit for the betterment of cancer care in East Africa and beyond...Cancer patients are living longer than never before..Thank you for all those keeping the fight alive..
@MalemboLE @USAmbTanzania @ummymwalimu @MuhimbiliTaifa
Siku njema ilikua kuongelea lishe bora na saratani...Takribani asimilia 30 mpaka 50 za saratani zinatokana na lishe isiyo sahihi..Chukua hatua..
Unakula nini na kinatoka wapi?
Familia ya #UgaliElimu imekuwa kubwa.
Chakula cha asili na @MalemboLE
Chakula bora cha asili hakitenganishwi na Maendeleo ya Binadamu kwa vipimo vyake vikuuu ( yaani HDI-Human Development Index). Kimsingi chakula bora cha asili ni msingi wa
A. Wastani wa umri wa kuishi
B. Kiwango cha Elimu
C. Vipato vya watu.
HDI kwetu familia ya #UgaliElimu msingi wake ni chakula bora cha asili. #ChakulaKamaDawa
Tanzania has a scarcity of Sugar and is facing a huge NCD challenge
#sukari
1
63
Kheri Tungaraza retweeted
Unfortunately you seem overqualified. Plus they need YES men.
The minimum academic qualification was one law/university degree. I had 3. The second one was at least 15 years of legal practice or experience. I have 28 years of legal practice experience in good standing. The third were clearance certificates from HELB, DCI, EACC and a credit union. I had all of them. Plus 3 letters of recommendation from solid professionals.
Iโm focused like a laser beam.
Viva and cheers! ๐ค๐ฟ
Tbs hii ni maamuzi sahihi
Tanzania bans Johnson & Johnson powder thecitizen.co.tz/tanzania/neโฆ
Maambukizi ya kirusi cha Human Papilloma Virus ndo huweza ambukizwa baina ya watu...Ukiwa na hayo maambukizi unakua na hatarishi ya kupata saratani kadhaa.Muandishi atazame original video atoe nukuu sahihi.#medicaljournalism
#HPV#oralsex#infectionandcancers
#michaeldouglas
This quoted post is unavailable.
167
Kheri Tungaraza retweeted
Comparing the Somalia described in the Zanzibar Chest by Aidan Hartley to what it is today, is clear testimony that leadership from within Africa is what will transform the continent.
My Tanzania
Hapa ni Tanzania..
Na huu ni muonekano wa Barabara ya Mbeya - Chunya - Makongorosi (KM 111). Barabara inayopatiwa fedha za matengenezo na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mfuko wa Barabara
#tanzaniaunforgettable
#ssh
#bodiyamfukowabarabara
#kaziinaendelea
1
167
Genomics to improve care in the African context.
#Moonshot
#CancerResearch
#genomics
#PrecisionMedicine

























