Earlier Yesterday...Networking session with Local Entrepreneurs & Farmers organized by Kakute Projects as part of their 25 years Celebration aiming at promoting sustainable economic development in various communities across Tanzania through technology and innovation
Timu yetu ikifunga pampu aina ya Sunlight, kwa mahitaji ya pampu za sola usisite kuwasiliana nasi kwa kupiga simu namba 0800 11 0036 bure.
Timu yetu ikifunga pampu tayari kwa kuanza uvutaji wa maji. #Simusolar
Timu yetu ikifunga pampu aina ya Kilimo Kwanza katika eneo la Mkenge Bagamoyo, kwa mahitaji ya pampu za sola usisite kuwasiliana nasi kwa kupiga simu namba 0800 11 0036 bure.
Timu yetu ikifunga pampu tayari kwa kuanza kuvuta maji eneo la Chanika- Dsm. Kwa mahitaji ya pampu tupigie simu bure katika namba hii 0800 11 0036 tukuhudumie #Simusolar
Timu yetu ikifunga pampu aina ya Mto kwa mteja katika eneo la Kibaha #Simusolar
Kutembelea wateja ndio jadi yetu, timu yetu ikiwa imemtembelea mmoja kati ya wateja wetu ili kujua changamoto anazopata na tuweze kuzitatua.#Simusolar
Jana ndio ilikuwa siku ya mwisho ya maadhimisho ya sikukuu ya nanenane, Asanteni sana wadau wetu kwa kufika na kuona namna ambavyo pampu zetu zinafanya kazi #Simusolar #nanenane
Baadhi ya wahudhuriaji katika maonesho ya nanenane mkoani Simiyu wakipata maelezo namna pampu zinavyofanya kazi #Simusolar #NaneNane2020
Tunawatakia wakulima wote heri ya sikukuu hii ya nanenane #nanenane #simusolar
Maonesho ya nanenane bado yanaendelea, wahudhuriaji wakipata maelezo na kujionea namna pampu zinavyofanya kazi mkoani Mbeya #Simusolar #nanenane
Maonesho ya nanenane bado yanaendelea, karibu uweze kujionea namna pampu mbalimbali zinavyofanya kazi #Simusolar #NaneNane2020
Mkuu wa wilaya ya Iringa akipata maelezo kuhusu pampu zetu alipotembelea banda letu katika maonesho ya nanenane #Simusolar #nanenane
Tupo katika maonesho ya nanenae mkoani Arusha , kama upo karibu usisite kusogea katika banda letu. #Simusolar #nanenane
Deputy minister of Water visited our Simusolar booth and was very impressed with our product because it’s environmental friendly and also farmer’s friendly #Simusolar #nanenane
Tupo kwenye maonesho ya nanenane hapa Dodoma, kama upo karibu usisite kusogea uweze kujua mambo mbalimbali. #Simusolar #nanenane
Tupo katika maonesho ya nanenae mkoani Morogoro, kama upo karibu usisite kusogea katika banda letu. #Simusolar #nanenane
Tupo Mbeya pia kwa ajili ya nanenane, kama upo karibu sogea kwenye banda letu uweze kujua namna pampu zinavyofanya kazi. #Simusolar #nanenane
Tupo tayari kwa ajili ya maonesho ya nanenane, kama upo Simiyu sogea katika banda letu uweze kujionea pampu mbalimbali na kujua namna zinafanya kazi. #Simusolar #nanenane
























































