Radio Maisha (@radiomaisha) header
Radio Maisha (@radiomaisha) profile picture

Kwa vipindi bomba , muziki bora wa kiafrika na habari tendeti, tegea Radio Maisha. Tuko mbele pamoja.

Nairobi, Kenya
Joined May 2010
Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)
Washukiwa watano wanaokabiliwa na tuhuma za wizi wa kutumia nguvu na ubakaji dhidi ya watalii na wakazi wa Limuru watoroka kutoka seli za polisi za Limuru. #Maishasherehefriday
269
President Ruto and First Lady Rachel attend daughter Charlene’s wedding to Tanzanian entrepreneur Isaya Yunge in Mwanza. #Maishasherehefriday
1
1
311
Mackenzie ahukumiwa kifungo cha miaka 200 jela kutokana na kuhusika kwake katika mauaji ya halaiki ya Shakahola, ambapo watu 191, wakiwemo watoto 190, walipoteza maisha. #Maishasherehefriday #NzulaNaGuzman @producer.erick
1
373
Caller: Server inafunguliwa baada ya miezi sita ya kudate! #Konnect
1
423
Caller: Nimedate na msupa wangu miaka 5 na siko sure nitamuoa! #Konnect
1
352
Kudate na mtu zaidi ya miaka tatu ni waste of time? #Konnect
1
656
Voke: Ukiona mwanamke anakataa uende kwake, jua mko wengi! #Konnect
1
798
Wanawake Kaunti ya Baringo, wanalalamika kuwa wanaume wao wanapoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kutokana na unywaji wa pombe. #Konnect
326
Watahiniwa wa KCSE katika Shule ya Nyabisase Mixed, Kisii, wampokonya polisi bunduki na kukaa nayo kwa muda wa karibu masaa matatu. #Konnect
4
802
Je, uko tayari kutoa KSh 20,000 kununua ticket ya mechi ya Bayern Munich vs Ajax? #Konnect
1
1
783
Wakazi wa Pipeline sasa wanatumia kamba kupokea bidhaa kutoka madukani ya ground floor na kuzivuta hadi kwenye maghorofa ya juu. #Staarabika
373
Elias: Mtoto aliyekulia katika mazingira toxic anaweza kuonyesha traits kama kupenda kupigana matusi na kusema uongo. #Staarabika
417
Elias: Migogoro kati ya wazazi inaweza kumpea mtoto stress hata kabla hajazaliwa, na kuathiri ukuaji wa ubongo wake. #Staarabika
4
929
Zuchu, amekanusha madai kuwa mumewe Diamond Platnumz ndiye aliyemnunulia gari jipya aina ya Bentley. #Staarabika
292
Leo ndani ya #Staarabika, mgeni wetu Lawrence Elias anaungana nasi kujadili athari za migogoro ya kifamilia kwa afya ya kisaikolojia ya watoto.
457
Charlene Ruto anatarajiwa kufanya White Wedding na entrepreneur wa Tanzania, Isaya Yunge, hii leo jijini Mwanza, Tanzania. #MaishaConcertFriday
1
856
Dogo Richie: Wimbo “Ex” ulikuwa idea tu! #MaishaConcertFriday
392
Wanafunzi wa Shule ya Nyabisase wawashambulia maafisa wa KNEC na kumpokonya polisi bastola. #MaishaConcertFriday
2
837
PPB yaonya wanawake dhidi ya kutumia Cetirizine kwa ajili ya kukaza uke. #MaishaConcertFriday
405
Kuna counties zenye zaidi ya 100 government bank accounts. Hizi pesa zinaenda wapi? #MaishaConcertFriday
3
1
4
836