precious Samuel retweeted
Shusha handle , retweet ,like
@goodluckminzi2 @Cyancuty
precious Samuel retweeted
Mikono Inayosaidia watu ni Mitakatifu sana Kuliko Midomo inayo SALI✍️
GOOD MORNING TANZANIA
precious Samuel retweeted
Sometimes the only thing you need is money ... Kidding tushushe handle bhana @MKALUKA_PRODUCT @Cyancuty
precious Samuel retweeted
Wasee hii Hali ilivyo naona kabisaa hamn week 2 hapa tunapigwa connection nziito. Amen
precious Samuel retweeted
Hii si uongo wapwa galfriend wangu na ex wake wanapostiana sana na hawakuwa marafiki Ni sanueni hii imekaaje?
precious Samuel retweeted
Naona Simba sc wanapigwa nje ndani mechi zote za kimataifa wamevaa pepo la Yanga .. Natabir tuu.
precious Samuel retweeted
Official and confirmed. Antony joins Manchester United on permanent deal for €95m guaranteed fee plus €5m in add-ons, as expected. 🚨🇧🇷 #MUFC
Contract until June 2027 with option until June 2028.
Here we go confirmed.
precious Samuel retweeted
Mpendwa,
Wakati unamatatizo ndio utajua nani ndugu na rafiki wa kweli na ndipo utakapogundua nani alikua anajazia idadi tu ya watu wako wakaribu 🚶♀️🚶♀️🚶♀️
precious Samuel retweeted
Je, ulikuwa unajua ya kwamba bima yetu ya gari inakupa huduma ya gharama ya kuvutwa na kutolewa mahali ulipopatia ajali mpaka gereji? ICEA LION watakulipia mpaka shilingi 500,000/- kwa ajili ya kutoa gari lako kutoka eneo la ajali.
#BimaFastaUnalipwaFasta
precious Samuel retweeted
Vijana wa Hovyo na majibu yao wapo kila pande ya Dunia 😂😂😂 #ThursdayVAR #TBTzaVAR



























