Pinned Tweet
#MazaoHub is an agri-tech AI Platform. Farmers can register their seasons and receive production estimates based on crop-specific input prices and tailored recommended agronomic practices for high-quality and scientifically abundant yields. #SmartFarming
Tunamuenzi Mwalimu Julius Nyerere kwa mchango wake katika kujenga taifa na kusisitiza nafasi ya kilimo katika maendeleo ya Tanzania.
#NyerereDay #MazaoHub #KilimoNiMaendeleo
36
Bei ya jana inaweza kukupotezea faida ya leo!
Katika biashara ya mazao, taarifa sahihi za bei ni muhimu kufanya uamuzi sahihi. Ungana nasi LIVE ujifunze jinsi ya kutumia Live Market Price ya CropSupply.com kufuatilia bei za mazao na kuongeza ufanisi katika biashara yako
1
34
✓ Saa 11:00 – 12:00 Jioni
✓ Jiunge LIVE: meet.google.com/hew-kqcp-nii
Usifanye biashara kwa kubahatisha fanya maamuzi kwa taarifa sahihi
50
Mkulima hastahili kuuziwa pembejeo kwa mazoea.
Anahitaji pembejeo sahihi, kwa wakati sahihi na kulingana na mahitaji halisi ya shamba lake.
Kupitia inputsupply.com, unapata ushauri wa kitaalamu na mapendekezo ya pembejeo yanayoendana na zao lako na hatua ya ukuaji.
1
25
Hii inakusaidia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kufanya maamuzi sahihi zaidi kwa shamba lako.
Usinunue pembejeo kwa kubahatisha. Ingia ndani ya mfumo wa inputsupply.com upate ushauri sahihi na chagua pembejeo kwa usahihi.
1
6
Ukijua hali ya udongo wako, unafanya maamuzi sahihi zaidi kuhusu zao, mbolea na namna ya kulitunza shamba.
Tunatamani kila Mkulima afanikiwe, si kwa kulima kwa mazoea, bali kwa kutumia maarifa, taarifa sahihi na teknolojia.
inputsupply.com
16
Unahitaji mazao kwa ajili ya biashara yako na hujui sehemu unayoweza kuyapata?
Kesho kwenye webinar yetu utajifunza jinsi ya kutafuta mazao, kuona bidhaa zinazopatikana na kuweka oda moja kwa moja kupitia CropSupply.com ili kurahisisha shughuli zako za usambazaji.
Lengo letu ni moja: Kuwafikia wakulima wengi zaidi na kuwasaidia kufanya kilimo chenye tija. 💚
#MazaoHub #SmartFarming #TeamMazaoHub #KilimoChenyeTija
1
14
📅 Jumamosi, 19 Septemba 2026
⏰ Saa 4:00 – 5:00 Asubuhi
📞 +255 699 365 987
Usikose kujifunza na kuuliza maswali! 🌱
#MazaoHub #KilimoChaAlizeti #KilimoKisasa #KilimoChenyeTija
29




